Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Nchi kuongozwa na mgonjwa wa bipolar disorder ni kazi sana , matokeo yake ndio haya maagizo kutoka juu yanafanya watumishi wote waonekane hamnazo , mahayatwo .
 
mpangilio huo ulizingatia matakwa ya jiwe...yaani huyu mkurugenzi wa sasa wa NEC ukimcheki tu hata kwa sura unamuona hajiamini kabisa, hata elimu yake nna mashaka nayo!!!.
 
Back
Top Bottom