Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

Kwa uchaguzi ulivyona jinsi karatasi ilivyo ni kama tunachagua kati ya mgombea wa CCM na CHADEMA.
 
Hatujui nia ya NEC na methodology waliyotumia kuchambua wapigiwa kura ktk karatasi.

Ila kumuweka wa CCM juu na Mwisho LISSU ni kurahisisha uchaguzi na hii inamuongezea Kura Lissu kuliko CCM.

Kwa nini? Mpiga kura anaoption Moja tu. Kuchagua wa Kwanza au wa Mwisho.

Hana option ya kusaka mgombea humo katikati.

CCM wangepata kura nyingi ikiwa Lissu angewekwa katikati ya wengine ambaye ili umpate itabidi umgoogle kwelikweli.

Kwa waliosoma hisabati za probability uwezekano wa mtu kuchagua Lissu ni sawa na uwezekano wa kumchagua magufuli.

Kazi ya CHADEMA ni kuufahamisha umma una option ya kuchagua Mwanzo au Mwisho.
hii imewekwa kimkakati ili wale watumishi wasiojielewa waogope!! hii maana yake ni kwamba wakiona umevuta karatasi wanajua umechagua haki, uhuru na maendeleo ya watu! Nawaza tyuu
 
Kwenye kujaza takwimu za matokeo kwenye fomu ya matokeo yawezekana kabisa karatasi za chini zisionyeshe maandishi endapo kwa maksudi kabisa au bahati mbaya msimamizi wa uchaguzi hatagandamiza karamu yake ili copy zote zisomeke.
Kama hivi ndivyo itakavyokuwa, na msimamizi akaamua kugawa copy kwa kusoma kufuatana na orodha ya wagombea ilivyo, CHADEMA watapewa copy ya mwisho kabisa. Swali ni je, itakuwa inasomeka???
Kumbuka vyama vingine vimewekwa kusindikiza tu kwa lengo la kuunga mkono nakujubali matokeo yatakayotangazwa vile NEC itakavyoona inafaa, kwahiyo sponcer wao ataweka mawakala na kudai copy za wagombea wa vyama vingine.
Tafakari!
 
Hatujui nia ya NEC na methodology waliyotumia kuchambua wapigiwa kura ktk karatasi.

Ila kumuweka wa CCM juu na Mwisho LISSU ni kurahisisha uchaguzi na hii inamuongezea Kura Lissu kuliko CCM.

Kwa nini? Mpiga kura anaoption Moja tu. Kuchagua wa Kwanza au wa Mwisho.

Hana option ya kusaka mgombea humo katikati.

CCM wangepata kura nyingi ikiwa Lissu angewekwa katikati ya wengine ambaye ili umpate itabidi umgoogle kwelikweli.

Kwa waliosoma hisabati za probability uwezekano wa mtu kuchagua Lissu ni sawa na uwezekano wa kumchagua magufuli.

Kazi ya CHADEMA ni kuufahamisha umma una option ya kuchagua Mwanzo au Mwisho.
Mwaka huu ndo neno kuu la kinabii lililoandikwa kwenye Biblia Kitabu cha Mathayo Mtakatifu 20:16 kuwa wa Kwanza atakuwa wa Mwisho na wa Mwisho atakuwa wa kwanza linaenda kutimia mwaka huu.

Tundu Antiphas Lissu anaenda kuzoa kura nyingi za kimbunga na kushinda uchaguzi huu wa mwaka huu katika kiti cha Uraisi.

Kwa Jina la Yesu , Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.
9E73552D-77BA-45F5-B4B0-1E8AA8D68C54.jpeg
 
Ndio muamini ccm na tume ni mtu na ndugu. Hv haiwezekani wazo la muundo wa karatasi ya kura walikaa ccm na nec wakajadili iwe hvyo? Km sivyo kigezo kipi nec walikitumia mpk ccm wawe mwanzo na chadema mwisho.
 
Na hii nayo inaweza kuwapa mwenendo wa kura ili waanze kujiandaa na vituo hewa!!
 
Hatujui nia ya NEC na methodology waliyotumia kuchambua wapigiwa kura ktk karatasi.

Ila kumuweka wa CCM juu na Mwisho LISSU ni kurahisisha uchaguzi na hii inamuongezea Kura Lissu kuliko CCM.

Kwa nini? Mpiga kura anaoption Moja tu. Kuchagua wa Kwanza au wa Mwisho.

Hana option ya kusaka mgombea humo katikati.

CCM wangepata kura nyingi ikiwa Lissu angewekwa katikati ya wengine ambaye ili umpate itabidi umgoogle kwelikweli.

Kwa waliosoma hisabati za probability uwezekano wa mtu kuchagua Lissu ni sawa na uwezekano wa kumchagua magufuli.

Kazi ya CHADEMA ni kuufahamisha umma una option ya kuchagua Mwanzo au Mwisho.
Membe ni namba tisa,watu wanajua kusoma,kuna katick atapata.
 
Mnawaza sana lakini mambo mengine hata hayana uhalisia. Ni vyama viwili tu vina uwezo wa kuweka mawakala nchi nzima.

CHADEMA wamejizatiti kuweka mawakala kila kituo ikiwemo hata kwenye majimbo ambayo wagombea wao wa ubunge na udiwani waliondolewa.
 
Mwaka huu ndo neno kuu la kinabii lililoandikwa kwenye Biblia Kitabu cha Mathayo Mtakatifu 20:16 kuwa wa Kwanza atakuwa wa Mwisho na wa Mwisho atakuwa wa kwanza linaenda kutimia mwaka huu.

Tundu Antiphas Lissu anaenda kuzoa kura nyingi za kimbunga na kushinda uchaguzi huu wa mwaka huu katika kiti cha Uraisi.

Kwa Jina la Yesu , Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.View attachment 1606976
Mwenye nacho huongezewa na asiye nacho hunyng'anywa hata kidogo alicho nacho! Ngoma drop mzee!
 
Mwaka huu ndo neno kuu la kinabii lililoandikwa kwenye Biblia Kitabu cha Mathayo Mtakatifu 20:16 kuwa wa Kwanza atakuwa wa Mwisho na wa Mwisho atakuwa wa kwanza linaenda kutimia mwaka huu.

Tundu Antiphas Lissu anaenda kuzoa kura nyingi za kimbunga na kushinda uchaguzi huu wa mwaka huu katika kiti cha Uraisi.

Kwa Jina la Yesu , Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu.View attachment 1606976
Hata mwizi hulitaja Jina la Yesu wakati anaenda kuiba.
 
Wanachadema na wapenda mageuzi nachukua fursa hii kuwapa elimu. Mgombea kupitia Chadema Tundu Lissu amewekwa mwisho wa karatasi weka Vema yako subiri matokeo.
IMG_20201022_191035.jpg
 
Back
Top Bottom