Mpango wa wazungu ni kuua kabisa taasisi ndoa

Wewe unajua generations ngapi za babu zako? Meaning baba, babu, baba wa babu, babu wa babu, baba wa babu wa babu, e.t.c
OOh, ndiyo nyie babu zenu waligeuzwa watumwa?
 
Unajua maana ya mtumwa au unaogea kitu usichokijua.
Ni kweli sijui maana ya utumwa kwakuwa sina ufahamu wala uzoefu nao sababu sitokani nao wala siuishi. Kuujua utumwa hiyo ni haki yenu ya kikatiba ninyi Mliotoka kwenye koo za kitumwa
 
Ni kweli sijui maana ya utumwa kwakuwa sina ufahamu wala uzoefu nao sababu sitokani nao wala siuishi. Kuujua utumwa hiyo ni haki yenu ya kikatiba ninyi Mliotoka kwenye koo za kitumwa
Wewe ni mtumwa hadi sasa.
 
Wala hamna haja ya kusingizia Wazungu. Mfikie hatua mkubali kuwajibika. Siyo mkishindwa mnawasingizia wengine.
 
Umeongea ukweli..miafrika mipumbavu sana haipo responsible inatafuta wabeba lawama siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…