Mpango wa wazungu ni kuua kabisa taasisi ndoa

Mpango wa wazungu ni kuua kabisa taasisi ndoa

Unajua maana ya mtumwa au unaogea kitu usichokijua.
Ni kweli sijui maana ya utumwa kwakuwa sina ufahamu wala uzoefu nao sababu sitokani nao wala siuishi. Kuujua utumwa hiyo ni haki yenu ya kikatiba ninyi Mliotoka kwenye koo za kitumwa
 
Ni kweli sijui maana ya utumwa kwakuwa sina ufahamu wala uzoefu nao sababu sitokani nao wala siuishi. Kuujua utumwa hiyo ni haki yenu ya kikatiba ninyi Mliotoka kwenye koo za kitumwa
Wewe ni mtumwa hadi sasa.
 
Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona.

Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda kwenye ndoa za mtu na mnyama, na sasa wanakuja na ndoa za jinsia moja, na pia kuna ndoa na masanamu (sex dolls)

Siku za usoni ndoa zitapoteza maana kabisa, na huenda zikawa bidhaa adimu kabisa.

Kizazi kinachokuja ni kizazi cha uzinzi na ulawiti.

Je Mungu ataruhusu tufike huko au ndio kiyama kimeshafika?
Wala hamna haja ya kusingizia Wazungu. Mfikie hatua mkubali kuwajibika. Siyo mkishindwa mnawasingizia wengine.
 
Mnawasingizia sana wazungu ndiyo maana kila siku tunaparanganyika sababu hatujifunzi kutokana na makosa yetu.
Yaani ushinde bar unaangalia mpira huku una bet halafu unakuja kumsingizia mzungu?
Vujana wanaacha kupambana ili kujikwamua kimaisha wanaamua kutafuta shortcuts za kuwa machawa na wengine kuliwa kinyume cha maumbile ile watoboe mnakuja kuwasingizia wazungu?
Umeongea ukweli..miafrika mipumbavu sana haipo responsible inatafuta wabeba lawama siku zote.
 
Back
Top Bottom