TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

Kwa ushahidi upi? Hakuna ayefurahia mwanadamu kufa. Ni hali ambayo CCM wameianzisha ya kutaka kuwaua wapinzani tanzania. Ya Lisu yanafurahisha? Akifa aliyetaka kumuua Lisu nitakunywa bia 1,000,000.. Vinginevyo mbona haya hayakuwepo wakati wa Kikwete?

Mimi huyu aliemfanyia dhulumati lissu bungeni ..anayejifanya hataachia kile kiti cha mhimili wa bungeni aiseee....nitaenda nywea bia Mafiaaaa ..unanywea ukiwa majini kbs!takataka kabisa *******
 
Taarifa za watu kukutwa na mauti sasa zimekuwa kama jambo la kuzoeleka...

Haipiti wiki hujapata taarifa za ndugu, rafiki, jamaa au 'kibopa' fulani kufariki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…