nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Unaona faida gani kudanganya Mkuu!? Msamaha wa wafungwa na mpelelezi wa PCCB wapi na wapi? Au hata majukumu ya PCCB huyajui? Mambo ya kuruka barua ya kabendera ili aendelee kuteseka lupango mbona ni ya kusadikika? Acheni kuchafua watu haisaidii kituHuyu ndiye aliyepokea barua za misamaha ya wafungwa kisha akaruka barua ya Kabendera ili aendelee kuteseka lupango!Aende tu!
Pole sana kwa wafiwa. Prime Minister achukue tahadhari maana kuna watu kadhaa amekutana nao karibuni na sasa wamefariki.
Kama ni siku zao zilifika basi haina shida ila kama ni COVID 19, apunguze kukutana na watu kama anavyofanya sasa.
Wewe jamaa utakuwa ama umezaliwa kwenye ushirikina au ni mchawi.Atakuwa karogwa, wafanyakazi wa PCCB wanarogwa sana
serious tunaelekea kuwa kama burundiTaarifa za watu kukutwa na mauti sasa zimekuwa kama jambo la kuzoeleka...
Haipiti wiki hujapata taarifa za ndugu, rafiki, jamaa au 'kibopa' fulani kufariki...
Tuliza kijambio.Acheni uchawi nyie watu, kwani zamani watu walikuwa hawafi??!, yaani sasa hivi asife hata mlinzi, tayari Tanzia inaletwa tena mnaileta kwa bashasha as if ni sifa kuleta habari za Tanzia, acheni hizo bhana
Sema tunataka corona imkabe koo mpaka awekwe kwenye friji.Rip.
Ila corona kwanini haitaki kusikia maombi ya watz walii wengi? Tunataka bwana yule augue corona na yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona, sasa we unatofauti gani na teja la barabarani, nonsensical rubbishTuliza kijambio.
Dude limechachamaa.
Rip.
Ila corona kwanini haitaki kusikia maombi ya watz walii wengi? Tunataka bwana yule augue corona na yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo,tungesema umemfuzia.Hii ningepost mimi ingeleta shida sana
Jr[emoji769]
Sema tunataka corona imkabe koo mpaka awekwe kwenye friji.
Mtaje jina covid-19 imfahamu tafadhaliUnaona faida gani kudanganya Mkuu!? Msamaha wa wafungwa na mpelelezi wa PCCB wapi na wapi? Au hata majukumu ya PCCB huyajui? Mambo ya kuruka barua ya kabendera ili aendelee kuteseka lupango mbona ni ya kusadikika? Acheni kuchafua watu haisaidii kitu
Sent using kidole gumba
Mkuu tuna inside infoz kuwa alikuwemo kwenye timu ya kuhakiki barua za kuomba msamaha kwa wenye kesi za rushwa na uhujumu uchumi!Endelea kukaza shingo!Unaona faida gani kudanganya Mkuu!? Msamaha wa wafungwa na mpelelezi wa PCCB wapi na wapi? Au hata majukumu ya PCCB huyajui? Mambo ya kuruka barua ya kabendera ili aendelee kuteseka lupango mbona ni ya kusadikika? Acheni kuchafua watu haisaidii kitu
Sent using kidole gumba
Sio poa mkuu
Hahhahaa mkuu usk huu umetumia nini lakini?Mtaje jina covid-19 imfahamu tafadhali
Nimechafukwa kinoma.Hahhahaa mkuu usk huu umetumia nini lakini?
Mkuu Nina hakika taarifa ulizo nazo kuhusu huyo Minyenya sio sahihi! Nina fahamu kituo chake cha kazi kabla ya kupelekwa makao makuu na ninajua alihamishiwa makao makuu lini ndio maana nakwambia taarifa ulizo nazo sio sahihi kafuatilie vizuri kumuhusu huyo kiongozi!Mkuu tuna inside infoz kuwa alikuwemo kwenye timu ya kuhakiki barua za kuomba msamaha kwa wenye kesi za rushwa na uhujumu uchumi!Endelea kukaza shingo!
Nimechafukwa kinoma.
Ndugu zetu wanakabwa na covid-19 serikali haiwatambui kuuawa na hii kitu!
Eti 16 tu. Utafikiri yanaandika peti kesh.