Unaweza kuniambia mwarabu gani alileta dini ??Kwa hiyo mwarabu zamani wakati analeta dini hakuwa na pesa, sasa amepata ndiyo anataka alete miradi.
Kwa nini asilete tu hizo pesa bila kutaka kutumia vitega uchumi vyetu?
Wakati mwingine tuambiane ukweli .uislamu upi ? Huu shehe mkuu alieishia la saba
Mkuki kwa nguruwe. Wanapolihitaji Kanisa huliita. Linapowapa ukweli huligeuka. Hoja za Maaskofu zijibiweKaka Paskali, bado ninataka kuwa na heshima na wewe. Mada yako ni ndefu sana lakini nitajikita kwenye kichwa cha habari. Nauliza tu, ndio hawa hawa ambao mvua ikipotea huwa mnawaita kufanya sala?? Ndio hawa mnawatumia katika kuelimisha jamii kuhusu ushoga, uasherati na hofu ya Mungu?? Ndio hawa hawa mnawatumia kuomba dua katika shughuli mbalimbali za kijamii?? Je ndio hawa hawa ambao taasisi wanazozimiliki kama mahospitali, shule na vyuo ni muhimu katika jamii?? Ndio hawahawa mnawatumia katika kampeni za chaguzi mbalimbali ili kupata kura??
Ni jambo lipi hasa ni la Mungu na lipi ni la kaisari?? Mimi nasema kila kitu na kila mtu na mamlaka aliyonayo - ni vya Mungu. Na dini inaonga maisha ya waamini katika mambo mengi. Uongo, wizi, si mambo ya kiimani???
Tunajenga taifa la hovyo sana! Taifa ambalo nafasi ya kiongozi wa serikali ni sahihi na inatoka kwa kiumbe mkamilifu!! Nilidhani ungetumia muda na nafasi kujibu hoja badala ya kushughulika na hoja inatoka kwa nani. Smart people talk about issues!!
Tuanzie hili .Je bunge hili ni wananchi????walilichagua??? Unajua alieliweka Mungu alimhukumu nini??Je kwa maneno haya ya kinafiki ili upate umaarufu kwankusoma nyakati .sisi wadogo zako bado tukikuona tukwambie shikamoo?? Naujibu toka moyoni mwako na MUNGU ataekuhukumu akusikie.Maneno umeandika ww ila tunaoaibika ni sisi wadogo zako
Kaka Paskali, bado ninataka kuwa na heshima na wewe. Mada yako ni ndefu sana lakini nitajikita kwenye kichwa cha habari. Nauliza tu, ndio hawa hawa ambao mvua ikipotea huwa mnawaita kufanya sala?? Ndio hawa mnawatumia katika kuelimisha jamii kuhusu ushoga, uasherati na hofu ya Mungu?? Ndio hawa hawa mnawatumia kuomba dua katika shughuli mbalimbali za kijamii?? Je ndio hawa hawa ambao taasisi wanazozimiliki kama mahospitali, shule na vyuo ni muhimu katika jamii?? Ndio hawahawa mnawatumia katika kampeni za chaguzi mbalimbali ili kupata kura??
Ni jambo lipi hasa ni la Mungu na lipi ni la kaisari?? Mimi nasema kila kitu na kila mtu na mamlaka aliyonayo - ni vya Mungu. Na dini inaonga maisha ya waamini katika mambo mengi. Uongo, wizi, si mambo ya kiimani???
Tunajenga taifa la hovyo sana! Taifa ambalo nafasi ya kiongozi wa serikali ni sahihi na inatoka kwa kiumbe mkamilifu!! Nilidhani ungetumia muda na nafasi kujibu hoja badala ya kushughulika na hoja inatoka kwa nani. Smart people talk about issues!!
Ungesoma bandiko lote ,ungeelewa P ,amemanishaumesoma sheria lakini huna akili. yaliyo ya mungu apewe mungu na yaliyo ya kaisari apewe kaisari haikumaanisha kwamba wao hawana uhuru kutoa maoni yao. hata Yesu aliwasema mapolisi/serikali ya kipindi kile kuacha rushwa na kutosheka na kipato chao. na kwa taarifa yako, sababu kubwa na Yesu kusulibishwa ilikuwa kupinga serikali ya kipindi kile na walimwona kama mpinzani anayekuja kumpindua herode. na ndio maana watu wanahisi kuna rushwa imetembea ndio maana mnatetea sana huu mkataba, mwarabu kawalambisha pesa? toshekeni na mishahara yenu. lini utapata akili pasco?
Kwamba CCM ndiyo chama tawala na chama pekee Tanzania...Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu, ni miongoni mwa Wakatoliki wacheche waliokwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, Rome, Italy, nikiwa mdogo nimehudunu utumishi kanisani chini ya Muadhama Laurian, Cardinal Rugambwa, na nimemhudumia Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu in disbelief, hili kweli ni tamko la TEC, au tamko la Fr. Kitima?. Naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, na kuridhia ile IGA ya DPW, CCM ndio chama tawala na chama pekee cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, kwa kuipiga chini kesi ya kupinga DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?!.
Si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na abatenfuatia Mama Samia ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, jiulize, rais angekuwa ni MkatolikinMagufuli ndio ameileta hii DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.
Pia Bwana wetu Yesu Kristo alituusia tuwe makini sana na manabii wa uongo, niliwahi kuandika hivi humu Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
Sipingi uhuru wa Maaskofu Katoliki kutoa kutoa maoni yao binafsi kuhusu jambo lolote, lakini maoni ya kupinga jambo lolote la kisiasa yanayotolewa na TEC, ni sawa na amri kwa Wakatoliki wote kuikataa DPW!, kitu ambacho kitawakwaza Wakotoliki wa CCM, Serikali, Bunge na Mahakama, wanao unga mkono DPW, hivyo baada ya tamko hili, wakiendelea kuunga mkono DPW ni kama kwenda kinyume cha msimamo wa Kanisa Katoliki!.
Sina tatizo kiongozi yoyote wa dini akihubiri amani, mimi mwenyewe ile 2010, JK alipokuwa na hali mbaya, nimezunguka nchi nzima na Askofu Moses Kulola kuokoa jahazi Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani
Niliwahi kuuliza maswali haya kuhusu viongozi hawa wa dini
Hitimisho
- Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
- Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
- Askofu Kakobe Asipuuzwe: Ni kama David Koresh na Camp Davidians!
- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.
- Mzee wa Upako anatumika kisiasa?
Kufuatia waraka huu kunasibishwa na Sauti ya Mungu mwenyewe, kumaanisha Vox Populi is Vox Dei, hii maana yake waraka huu ni sauti ya Mungu wa kweli, na kama hawa Maaskofu Katoliki sio manabii wa uongo, ushauri wangu wa bure kwa Rais Mama Samia, kama hawa Maaskofu Katoliki wamewasilisha sauti ya Mungu wa kweli, uzoefu umeonyesha sio vizuri kuwakatalia Maaskofu, na mfano mzuri ni ushauri huu niliompa rafiki yangu Benard Membe, Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo tangu Membe alipoupuuza ushauri huu,... (naomba nisimalizie), ila hakuchukua round!.
Hivyo mimi nikiwa ni mmoja wa wana jf wenye kauli umba "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Nakushauri tuu Mama, pamoja na mema yote DPW waliokutendea during Expo Dubai, and after, kubaliana tuu na ushauri wa TEC, huu ni ushauri Mungu, hili jambo la DPW achana nalo kwa sasa, kisha anzisha upya mchakato wa kumpata a strategic investor wa Bandari yetu kwa kufuata a due process, hakuna strategic investor mwekezaji wa Bandari wa kushindana na DPW!, hivyo DPW atakuwa ameingia kwa heshima, and very honourably.
Paskali.
Rejea za Mwandishi kuhusu DPW na Bandari zetu
- Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
- Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
- Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
- Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?
- Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?
- DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?
- Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?
- Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?
- Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?
- Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
- Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do
- Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!.
- Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?
- IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria vilaza wa Ajabu. Je, Bunge letu na Serikali navyo ni vya Ajabu?
- Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?
- IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?
- Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Na kufuatia baadhi ya watu wenye akili fupi humu kudhani mimi ni chawa, nawahakikishia mimi sio chawa Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
- Chawa hawezi kupandisha bandiko kama hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Baraza la maaskovu haliruhisiwi kutoa kauli (matako) ya kukemea au kuipinga uonevu,unyonyaji na ukandamizaji? Kanisa pia lina kazi ya kutetea haki za wananchi kwa kupaaza sauti linapoona haki zao zinakanyagwa na serikali.
Jamaa kasoma heading tu kakimbilia kutoa commentUngesoma bandiko lote ,ungeelewa P ,amemanisha
Ameng'ata akapuliza kisha akafyonzaUnfortunately, this time around mwandamizi Mayalla ameloa.
Hebu kidogo fafanua. Kwani Rais anaemfuata mama lazima awe mkristo? Kama ni zamu kati ya wakristo na waislamu basi huo nao ni udini unaleta. Kwani katiba inasema hivyo? Mbona zile zamu za kupishana kati ya mtu kutoka znz na Tz bara siku hizi hamzitaji? mnasema katiba haijaweka zamu lakini kwenye udini mnaashiria kuwe na zamu!Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu, ni miongoni mwa Wakatoliki wacheche waliokwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, Rome, Italy, nikiwa mdogo nimehudunu utumishi kanisani chini ya Muadhama Laurian, Cardinal Rugambwa, na nimemhudumia Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu in disbelief, hili kweli ni tamko la TEC, au tamko la Fr. Kitima?. Naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, na kuridhia ile IGA ya DPW, CCM ndio chama tawala na chama pekee cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, kwa kuipiga chini kesi ya kupinga DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?!.
Si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na abatenfuatia Mama Samia ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, jiulize, rais angekuwa ni MkatolikinMagufuli ndio ameileta hii DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.
Pia Bwana wetu Yesu Kristo alituusia tuwe makini sana na manabii wa uongo, niliwahi kuandika hivi humu Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
Sipingi uhuru wa Maaskofu Katoliki kutoa kutoa maoni yao binafsi kuhusu jambo lolote, lakini maoni ya kupinga jambo lolote la kisiasa yanayotolewa na TEC, ni sawa na amri kwa Wakatoliki wote kuikataa DPW!, kitu ambacho kitawakwaza Wakotoliki wa CCM, Serikali, Bunge na Mahakama, wanao unga mkono DPW, hivyo baada ya tamko hili, wakiendelea kuunga mkono DPW ni kama kwenda kinyume cha msimamo wa Kanisa Katoliki!.
Sina tatizo kiongozi yoyote wa dini akihubiri amani, mimi mwenyewe ile 2010, JK alipokuwa na hali mbaya, nimezunguka nchi nzima na Askofu Moses Kulola kuokoa jahazi Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani
Niliwahi kuuliza maswali haya kuhusu viongozi hawa wa dini
Hitimisho
- Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
- Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
- Askofu Kakobe Asipuuzwe: Ni kama David Koresh na Camp Davidians!
- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.
- Mzee wa Upako anatumika kisiasa?
Kufuatia waraka huu kunasibishwa na Sauti ya Mungu mwenyewe, kumaanisha Vox Populi is Vox Dei, hii maana yake waraka huu ni sauti ya Mungu wa kweli, na kama hawa Maaskofu Katoliki sio manabii wa uongo, ushauri wangu wa bure kwa Rais Mama Samia, kama hawa Maaskofu Katoliki wamewasilisha sauti ya Mungu wa kweli, uzoefu umeonyesha sio vizuri kuwakatalia Maaskofu, na mfano mzuri ni ushauri huu niliompa rafiki yangu Benard Membe, Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo tangu Membe alipoupuuza ushauri huu,... (naomba nisimalizie), ila hakuchukua round!.
Hivyo mimi nikiwa ni mmoja wa wana jf wenye kauli umba "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Nakushauri tuu Mama, pamoja na mema yote DPW waliokutendea during Expo Dubai, and after, kubaliana tuu na ushauri wa TEC, huu ni ushauri Mungu, hili jambo la DPW achana nalo kwa sasa, kisha anzisha upya mchakato wa kumpata a strategic investor wa Bandari yetu kwa kufuata a due process, hakuna strategic investor mwekezaji wa Bandari wa kushindana na DPW!, hivyo DPW atakuwa ameingia kwa heshima, and very honourably.
Paskali.
Rejea za Mwandishi kuhusu DPW na Bandari zetu
- Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
- Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
- Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
- Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?
- Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?
- DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?
- Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?
- Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?
- Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?
- Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
- Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do
- Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!.
- Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?
- IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria vilaza wa Ajabu. Je, Bunge letu na Serikali navyo ni vya Ajabu?
- Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?
- IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?
- Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Na kufuatia baadhi ya watu wenye akili fupi humu kudhani mimi ni chawa, nawahakikishia mimi sio chawa Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
- Chawa hawezi kupandisha bandiko kama hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Wanabodi,

Andaa andiko lingine la kuomba radhi mkuu muungwana akivuliwa nguo huchuntama sasa chuntama omba radhi, 'who the hell is....' unaelewa maana yake omba radhi umewakosea wazee wa barazaBunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, na kuridhia ile IGA ya DPW, CCM ndio chama tawala na chama pekee cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, kwa kuipiga chini kesi ya kupinga DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?!.
Hata Mimi nashangaa Ila Mambumbumbu wanakataaDINI KWENYE ELIMU SAWA,NDIO MAANS WANAJENGA SHULE.DINI KWENYE AFYA ZA WANANCHI SAWA, NDIO MAANA WANAJENGA HOSPITAL. DINI KWENYE SIASA ETI NO NO NO NO NO KWANINI???? ILI UHUBIRIWE UELEWE, INABIDI UWE NA UELEWA MZURI( ELIMU) NA AFYA NJEMA. LAKINI PIA LAZIMA IWEPO AMANI. AMANI INATOKANA NA SIASA SAFI. HAPO DINI UTAITENGAJE NA SIASA.MBONA BUNGENI KUNA MAASKOFU NA WACHUNGAJI?
Well said mkuu!Maoni ya kupinga jambo lolote la kisiasa yanayotolewa na TEC, ni sawa na amri kwa Wakatoliki wote kuikataa DPW!, Wakotoliki wa CCM, Serikali, Bunge na Mahakama, wanao unga mkono DPW, hivyo baada ya tamko hili, wakiendelea kuunga mkono DPW ni kama kwenda kinyume cha msimamo wa Kanisa Katoliki!.