Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

Nimejaribu kuangalia mikeka ya uteuzi kwa siku hizi ni wachache sana wanaoingia kwenye mkeka kwa mara ya kwanza wakiwa na miaka 45+
Katika umri huo unakuta walishawahi kupata uteuzi kabla hivyo hiyo inakua marudio tu mtoa post
 
Mwenye macho haambiwi tazama !
Kabla hata hii thread ya Mayala watu wenye uwezo wa kuona mbali walishaona mjadala huu wa Bandari tayari ulishakuwa na sura za udini udini ndani yake !!
Na jinsi ninavyo wafahamu Watanzania mjadala wowote ule ukishaonekana una viashiria vya kuwagawa wengi wao huamua kuudharau mjadala maana Watanzania huwezi kuwagawa kwa misingi hiyo !!
 
Essay ndefu sana Ila ❌ nakupa 0/10
 
Case closed !! Serikali haina Dini hivyo isiingiliwe !!
 
Tusubiri upande wa pili nao watatoa tamko lipi ! πŸ™πŸ™
 


Hivi Paschal unaweza kuwa mpuuzi wa kiwango hichi? Umesoma vitabu vya injili kweli wewe?

Kwa hiyo verse uliyo quote ina maana hiyo? Hivi nini maana ya Kutenda na kusimamia mema na maadili?

Kuanzia keo nafanya maombi hata huo uteuzi wasikupe, haustahili hata kuwa kwenye kamati ya Balozi ya mtaa.

Usi declare interest ya ukatoliki wakati hata ABC zake hujui, ujui chochote zaidi ya njaa na uchawa.
 
Kazi kweli kweli πŸ˜… kisu kimegusa mfupa ???! πŸ˜…πŸ˜…πŸ™πŸ™
 
Paskal naona sasa umeuvaa undumilakuwili sura mbili at the same time yaani unang'ata na kupuliza Kisha unang'ata kabisa bila ya kupuliza mabandiko Yako yote hapa kuusu Bandari ulikuwa unasapoti DPW waje baada ya Tamko la TEC umechange GIA angani ama kweli hakuna Mwanadamu mwenye Mioyo /Nyoyo mbili ktk mwili wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…