Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye macho haambiwi tazama !Du we Mayalla mi nadhani unafikiri kwa kuendeshwa na tumbo/njaa wala si ubongo, kwa hulka hii haufai kuwa kiongozi mahali popote hata kwenye familia yako.
Hao maaskofu ktk waraka wao hakuna mahali wamekataa mkataba wa bandari kwa kuzingatia dini ya mtu isipokuwa wametumia hoja zinazotokana na mkataba wenyewe pamoja na mgawanyiko uliojitokeza kwa wananchi na wewe ungejikita huko ktk kuwapinga na si kutumia hisia zako za udini ambazo haziwezi kuthibitika.
Ingawa ndani ya mawazo(moyo) ya mtu hatuwezi jua kilichomo pasipo kutamkwa au kuashiriwa, basi kwa kuwa maaskofu hawajasema wala kuashiria kupinga mkataba kwa hoja za kidini basi na wewe jikite kuwakosoa kwa kutumia hoja walizotumia, kinyume na hapo wewe na wenzako wenye mawazo sawa na yako ndo mtakuwa wadini.
Mbona kama unasononeka subiri na Bakwataa nanyi mtatoa tamko lenu la kuunga mkonoHawajaanza leo wala hawatamaliza leo.
Wachana na hao waliofirisika kisiasa na kiakiliKwamba CCM ndiyo chama tawala na chama pekee Tanzania...
Mungu atusadie sana waja wake ! Case closed.
Essay ndefu sana Ila ❌ nakupa 0/10Nimesoma tamko la TEC
Kwanza tamko limesomwana mtu mmoja bila kuwepo na askofu mwingine yeyote.
Aliesoma na kuandika tamko amekuwa miongoni mwa watu wanaopinga mkataba wa bandari kwa nyakati tofauti hata kabla ya tamko la leo.
TEC imetumika kama Jukwaa lilisaidia slaa na kitima kufikisha hoja zao.
Rejea mjadala mdaharo uliowashirikisha Rostam,Kitila mkumbo,Zitto,Lema,Shekh Ponda,Balile na Dr Kitima mwenyewe.
Kwenye madaharo watu wote walikubaliana kuhusu umuhimu wa uwekezaji,Kitima pekee ndie alikuwa na hoja tofauti, akasema haoni sababu ya kukabidhi uhuru wetu kwa waarabu,akapinga uwekezaji na kutaka mkataba tuachane nao,tuwaachie vijana wa kitanzania waendeshe,akaongeza kuwa hata wakiiba watatumia pesa hizo humuhumu nchini(ingia youtube andika mdaharo wa bandari utaona ninachokisema)
Leo ameibuka kama katibu wa TEC nafasi iliyowahi kushikwa na Dr.Slaa.
Anatoa tamko kwamba TEC inapinga uwekezaji na wanamuamuru Rais Ufute mkataba.
Kwenye andiko lake ametoa hoja kubwa tatu.
1.Kwenye andiko lake anadai Mihimili iheshimiane,isiingiliwe hapa alimaanisha Kesi ya mwabukusi ambayo kwa vyovyote Kitima alihusika kuifungua .
Kushindwa kwa Mwabukusi ni sawa na kushindwa kwa Kitima,lazima Kitima atafute plan B.
Kitima kwenye andiko lake anasema mihimili isiingiliane,kila muhimili uwe huru.
Kwake anaamini walishindwa kesi kwakuwa mahakama haikuwa na uhuru wa kufanya maamuzi,Kitima ni kama anasema mahakama ilishinikizwa kutoa yale maamuzi.
Halafu anafanya makosa kwenye andiko hilohilo kuhusu hoja hiyo kwa mushinikiza Rais Samia kutengua maamuzi ya bunge ambao ni muhimili mwingine wa dola ambao awali amesema mihimili isiingiliwe.
Hapa anahalalisha kuingiliwa kwa munimili wa Bunge ili kufanikisha malengo yake.
Rais akiingilia bunge atakuwa naendelea kuvunja katiba, kukosea kwa kufanya kile ambacho Kitima anapinga kwenye Tamko lake.
2.Kuhusu hoja ya kutaka Bandari iendeshwe na wazawa,kwamba haijawahi kuendeshwa na wageni,amesahau kuwa Bandari imeendeshwa na TICS kwa miaka 22 hakulisema hili kwa makusudi,huenda anatamani TICS ndio iendelee badala ya DP-World ili kulinda maslahi binafsi aliyonayo bandarini.
Hapa Kitima ni kama ana msalahi binafsi anayoyapigania kwa kutumia mwamvuli wa TEC,hoja yake inamashaka.kumbukeni sakata la ESCROW kuna hadi viongozi wa dini ambao walinufaika na wizi wa ESCROW sio wasafi kwa kiwango hicho.
3.Kitima na Dr.Slaa ni watu wenye Itikadi kali ya ukristo(Udini)
Kuna Wakristo wasiokuwa na ubaguzi halafu kuna Slaa na Kitima waliopea kwenye Udini.
Sio utamaduni wetu Watanzania kunadiliana habari za udini ma Ukabila,lakini kwa muktadha huu nitalisemea ili muwajue vizuri.
kwa nyakati tofauti Kitima ameonesha ni mtu mwenye chuki ya kidini na mdini sana tangu akiwa Makamu mkuu wa chuo cha St Augustine Mwanza.
Nakumbuka wakati wa utawala wa Rais Kikwete kwenye kipindi cha star TV chini ya Dotto Bulendu kitima aliilaumu serikali ya Rais kikwete kwa kuruhusu waarabu wenye ndevu hadi kifuani kuzagaa Kariakoo,alisema kwamba wale wenye ndevu ndio magaidi.kwamba serikali inawatazama haiwachukulii hatua.
Yaani kwenye ule mjadala, kitima akaona ndevu ni tishio kwake.
Ndio maana Tangu utawala uchukuliwe na Rais Magufuli,Mkatoliki mwenzake Kitima hajawahi kujitokeza hadharani kuipinga serikalinya magufulipamoja na chamgamoto zote za Utawala wa Magufuli.
Kadhalika Dr.Slaa,kwenye utawala wa Magufuli hakuwahi kuishambulia serikali kwa lolote hata pale palipokuwa na makosa ya wazi,baadae Slaa alipewa zawadi ya cheo kuwa balozi wa tanzania kwa kazi nzuri ya Kuhujumu demokrasia yetu.
Baadae alirudishwa nyumbani baada ya kumaliza muda wake wakati wa utawala wa Rais samia,hadi hivi karibuni kwenye sakata la mbowe,Slaa alisema mbowe anaweza kuwa gaidi kwamba mashtaka aliyoshtakiwa nayo yalikuwa halali,hapa alitoa kauli ya kumfurahisha Rais samia kwa lengo la kuwinda zawadi ya cheo kipya.
Rais Samia amejipambanua kuwa hataki wapambe,ni kiongozi anaetembea kwenye 4R,msisitizo ukiwa mwafaka wa kitaifa.
Watu kama slaa ambao wanashangilia mauaji na uonevu Rais samia aliona hawawezi kumsaidia.
Pia Rais Samia anaamini katika uongozi wa vijana.Slaa ana zaidi miaka 78.
Baada ya Slaa kukiridhisha kuwa utawala wa Rais Samia hauna mpango wa kumtumia,ndipo akaamua kuungana na Dr.Charles Kitima kuishambukia serikali
Kama Slaa angepewa cheo,muda huu angekuwa anatetea Mkataba wa DP World.
Huu ni uthibitisho kuwa Kitima na Slaa ni wadini sana ambao Kuingia kwa Rais Samia madarakani kwao waliona ni suprise.
Hawakujiadaa kuongozwa na Rais Samia ndio maana Wamekuwa mbogo sio kwenye mkataba wa bandari tu bali kwenye utawala wa Rais Samia kwa ujumla.
Rejea mahojiano ya Slaa na star tv baada ya Rais samia kuapishwa,Slaa aliishambulia serikali na kuituhumu kuhusu kifo cha Rais Magufuli,Slaa akamalizia kwa kusema kama wanataka wanikamate,siogopi kukamatwa.,alionekana ni mtu mwwnye hasira ya kukosa cheo.
Kwa msingi huo,huu ni uthibitisho kuwa Tamko lililoitwa la TEC lina msukumo wa kidini kuliko msukumo wa kisheria na kisiasa.
Nchi yetu ina dini kubwa Mbili,Wakristo na waislaam,tujaalie hilo ni tamko la wakatoliki.
Je na waislaam nao wakitoa tamko lao linalopingana na tamko la TEC?
Vipi walokole nao wakiunga mkono uwekezaji,serikali itafuata msimamo wa dini gani?
Ndio msingi uliosababisha serikali kutamka kuwa haina dini,lengo nikuepuka misuguano inayoweza kuliingiza taifa kwenye machafuko.
Tumeshatoa maoni,serikali imeyasikia na ndani ya serikali kuna watu wa dini zote na wasiokuwa na dini.,kuna wanasheria kuna vyombo mbalimbali vya dola.
Ni imani yangu kuwa Swala la uwekezaji wa Bandari watalifanyia kazi kwa kulinda maslahi ya taifa.
Viongozi wa dini wasiingile utendaji wa serikali ambayo kila mmoja anatambua haina dini.
Tuwapuuze Slaa na kitima,wanataka kutuingiza kwwnye vita yao ya maslahi binafsi kwa Kisingizio cha kulinda rasilimali ,tuulinde umoja wetu uliodumu kwa zaidi ya miaka 50.
Tujifunze Burundi na Rwanda,mauaji ya kimbali yalihamasishwa na viongozi wa dini.
Unalia nini?Hawajaanza leo wala hawatamaliza leo.
Case closed !! Serikali haina Dini hivyo isiingiliwe !!Nimesoma tamko la TEC

Mbumbumbu mwingine huyu punguza kua Mbumbumbu unajiabishaCase closed !! Serikali haina Dini hivyo isiingiliwe !!
Tusubiri upande wa pili nao watatoa tamko lipi ! 🙏🙏Ukibatizw unakuw kuhani, nabii na mfalme
Na ndivyo kanisa lilivyo
Kuhani kuongoza matakatifu
Nabii kusema ukweli hats ukikatwa kichwa kama yohana
Mfalme kutawala na kuongoza kama daudi, au Solomon
Bear it in mind bro uteuzi si muhimu kuliko maisha ya wanetu
Be humble
Tusubiri tuone 😅🙏ngoja tuone
TEC wamemgusa kipofu mkono wakati wakula Je,foxy na ukipofu wake ataacha kuendelea kula
Tusubiri
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, tena sio Mkatoliki mlei tuu, ni miongoni mwa Wakatoliki wacheche waliokwenda kuhiji Israel, na waliofika St. Peter's Basilica, Rome, Italy, nikiwa mdogo nimehudunu utumishi kanisani chini ya Muadhama Laurian, Cardinal Rugambwa, na nimemhudumia Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu in disbelief, hili kweli ni tamko la TEC, au tamko la Fr. Kitima?. Naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Kama Mama Samia ndiye Mkuu wa nchi, ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, na kuridhia ile IGA ya DPW, CCM ndio chama tawala na chama pekee cha Watanzania, wameikubali DPW, mhimili wa Mahakama umeikubali DPW, kwa kuipiga chini kesi ya kupinga DPW, who the hell is TEC ikatae DPW?!.
Katika uendeshaji wa nchi yetu, kumewahi kuwepo tuhuma za kitu kinachoitwa "Mfumo Kristo", hata uongozi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uliwahi kutuhumiwa kujaza Wakatoliki!. Mwalimu Nyerere akamtuma msaidizi wake Bi. Wickens amuhesabie idadi ya mawaziri Wakatoliki kwenye cabinet yake, akawakuta wawili, mmoja wao ni Sir George Kahama, wakati huo Sir George ameisha endelea, ana wake 2!.
Japo Tanzania ni secular state, nchi yetu haina dini na serikali haina dini, ila watu wake wana dini, na dini Kuu mbili ni Wakristo na Waislamu. Ukiangalia development index ya maendeleo na personal development ya watu hawa wawili ni tofauti, kuna mmoja ni more influential kuliko mwingine, hivyo akisema kitu kinasikilizwa na kisipo sikilizwa...
Tukubali tukatae, Kanisa Katoliki lina upper hand kwenye siasa za nchi hii!, si wengi wanajua kuwa kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, na atakaye mfuatia Mama Samia baada muda wake, ni lazima awe Mkatoliki!, je kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Zanzibar ilipojiunga na OIC na kwa vile Zanzibar sio nchi, hivyo Tanzania ndio ikahesabika kujiunga na OIC, ni TEC ndio wa kwanza kupiga kelele, Tanzania tukajitoa!.
Waislamu walipotaka Mahakama ya Kadhi, na CCM ikawakubalia na kuuingiza kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, ni TEC walipiga kelele, Mahakama ya Kadhi ikakataliwa na ilani ya CCM iliyofuata hoja ya Mahakama ya Kadhi ikaondolewa kwenye ilani ya CCM!. Tupo baadhi yetu tena ni Wakristo Wakatoliki, tuliwaunga mkono Waislamu kudai Mahakama ya Kadhi Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo, Waislamu, Kuukubali Bila Matatizo!.
Tuambiane ukweli, jiulize, rais angekuwa ni MkatolikinMagufuli ndio ameileta hii DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Kuna mabaya mangapi yamefanywa na marais Wakatoliki lakini TEC wamenyamaza?. Kuna kosa kubwa zaidi ya rais wa JMT kukiuka katiba?. Mbona rais Mkatoliki alikiuka katiba na TEC walikuwepo, mbona sikuona waraka?.
Bwana wetu Yesu Kristo alituasa tumpe Kaisari yaliyo ya Kaisari na tumpe Mungu yaliyo ya Ki Mungu, jee waraka mzito kama huu, haujachanganya ya Ki Mungu na ya Kaizari?.
Pia Bwana wetu Yesu Kristo alituusia tuwe makini sana na manabii wa uongo, niliwahi kuandika hivi humu Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
Sipingi uhuru wa Maaskofu Katoliki kutoa kutoa maoni yao binafsi kuhusu jambo lolote, lakini maoni ya kupinga jambo lolote la kisiasa yanayotolewa na TEC, ni sawa na amri kwa Wakatoliki wote kuikataa DPW!, kitu ambacho kitawakwaza Wakotoliki wa CCM, Serikali, Bunge na Mahakama, wanao unga mkono DPW, hivyo baada ya tamko hili, wakiendelea kuunga mkono DPW ni kama kwenda kinyume cha msimamo wa Kanisa Katoliki!.
Sina tatizo kiongozi yoyote wa dini akihubiri amani, mimi mwenyewe ile 2010, JK alipokuwa na hali mbaya, nimezunguka nchi nzima na Askofu Moses Kulola kuokoa jahazi Askofu Kulola: Kuna mtandao wa kisiasa makanisani
Niliwahi kuuliza maswali haya kuhusu viongozi hawa wa dini
Hitimisho
- Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
- Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
- Askofu Kakobe Asipuuzwe: Ni kama David Koresh na Camp Davidians!
- Vijana Waahidiwa Utajiri Kwa Shurti la Kuweka Agano la Kutohama Efata-Mtume na Nabii Mwingira!.
- Mzee wa Upako anatumika kisiasa?
Kufuatia waraka huu kunasibishwa na Sauti ya Mungu mwenyewe, kumaanisha Vox Populi is Vox Dei, hii maana yake waraka huu ni sauti ya Mungu wa kweli, na kama hawa Maaskofu Katoliki sio manabii wa uongo, ushauri wangu wa bure kwa Rais Mama Samia, kama hawa Maaskofu Katoliki wamewasilisha sauti ya Mungu wa kweli, uzoefu umeonyesha sio vizuri kuwakatalia Maaskofu, na mfano mzuri ni ushauri huu niliompa rafiki yangu Benard Membe, Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo tangu Membe alipoupuuza ushauri huu,... (naomba nisimalizie), ila hakuchukua round!.
Hivyo mimi nikiwa ni mmoja wa wana jf wenye kauli umba "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Nakushauri tuu Mama, pamoja na mema yote DPW waliokutendea during Expo Dubai, and after, kubaliana tuu na ushauri wa TEC, huu ni ushauri Mungu, hili jambo la DPW achana nalo kwa sasa, kisha anzisha upya mchakato wa kumpata a strategic investor wa Bandari yetu kwa kufuata a due process, hakuna strategic investor mwekezaji wa Bandari wa kushindana na DPW!, hivyo DPW atakuwa ameingia kwa heshima, and very honourably.
Paskali.
Rejea za Mwandishi kuhusu DPW na Bandari zetu
- Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
- Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!
- Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
- Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?
- Bunge letu ni Bunge la ovyo? Bunge linafanya Uhuni? Wabunge Wetu ni Wahuni? Tumshauri Spika naye aanze kuita Watu kwenye Kamati, au waachwe tu?
- DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?
- Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?
- Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?
- Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?
- Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
- Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do
- Wito: Hoja za Kisheria za TLS, Prof. Shivji na wengine wote kupinga IGA, zisijibiwe Kisiasa kwa maneno matupu!, zijibiwe Kisheria kwa Vifungu!.
- Wajua kuna ndoa halali, batili na batilifu? Ndoa ya TPA na DPW, ni Ubakaji? Wajua ubakaji unaweza kuwa alali? IGA batili yaweza kuzaa HGA halali?
- IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria vilaza wa Ajabu. Je, Bunge letu na Serikali navyo ni vya Ajabu?
- Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?
- IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?
- Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?
- Je, umefika wakati kutimiza Uzalendo wa kweli wa kwenda kwenye Serikali moja?
- Na kufuatia baadhi ya watu wenye akili fupi humu kudhani mimi ni chawa, nawahakikishia mimi sio chawa Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
- Chawa hawezi kupandisha bandiko kama hili Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Acha kua MbumbumbuTamko kama lililotolewa na TEC kutoka upande wa pili !!
Kazi kweli kweli 😅 kisu kimegusa mfupa ???! 😅😅🙏🙏Hivi Paschal unaweza kuwa mpuuzi wa kiwango hichi? Umesoma vitabu vya injili kweli wewe?
Kwa hiyo verse uliyo quote ina maana hiyo? Hivi nini maana ya Kutenda na kusimamia mema na maadili?
Kuanzia keo nafanya maombi hata huo uteuzi wasikupe, haustahili hata kuwa kwenye kamati ya Balozi ya mtaa.
Usi declare interest ya ukatoliki wakati hata ABC zake hujui, ujui chochote zaidi ya njaa na uchawa.
Nimeongea hivyo kukazia hamchelewi matusi Mara ooh mjukuu wa mudiNani kakuuliza wewe ni mkatoliki?. Nenda kafuatilie kipindi kelele zilipigwa Sana kuhusu ubinafsishaji.