Pilato akamwambia Yesu " Wewe u Mfalme basi"Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Umemaliza yote! Naunga mkono hojaHana akili mlevi huyo
Pasco arudi ktk historia ajiulizwe asili ya siasa ilikoanzia,Tutadili na dhamiri.
Kama lengo ni udini au kumkwamisha Samia hao viongozi ni waache mambo ya hovyo.
Kama lengo ni maslahi ya Taifa na Uzalendo basi viongozi wa dini wasikilizwe.
Sasa Nani wa kupima dhamiri za Watu?
Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Pombe za buku nne zimemharibu upstairsMbona wanasiasa wanaenda sana kuhutubia (sio kusali tu) kwenye makanisa na kwenye misikiti? Au hujawahi kuwaona?
Siasa ni maisha, inamhusu kila mtu.
Unaongea Kama nani?Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Aliyesema Kikwete chaguo la Mungu walikuwa bakwata?Hawa watu Huwa wanaleta shida sana pindi Kiongozi akiwa sio wa upande wao.
Tunza heshima yako kwa masirahi ya kesho.Wanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Mlevi mmoja anaekula tuposho twa matangazo ya 88Unaongea Kama nani?
Tujibu hoja zao, dini na siasa vimetokea wapi tena!! Tusikimbilie dini na madhehebu tujibu hoja walizozitoa kuhusu mkataba . Kwanini turuke ruke kama maharage, tujibu hoja narudia tujibu hoja zaoWanabodi,
Declaration of Interest
Mimi ni Mkatoliki, nimelisoma tamko hili, News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu naulizia, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Mama Samia ameikubali DPW, ameileta, Bunge ambalo ndio wawakilishi halali wa wananchi wameikubali, who the hell is TEC ikatae DPW?
Kufuatia kila rais wa JMT anapokuwa ni Mkristo ni lazima awe Mkatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa Mkatoliki na Magufuli Mkatoliki, kuna uwezekano Wakatoliki wamedekezwa na sasa wameota pembe na kuthubutu kumgomea Mama kwasababu sio Mkatoliki?.
Tuambiane ukweli, angekuwa ni Magufuli ameileta DPW, TEC wangetoa waraka huu?.
Paskali
Unaandika kinyume mkuu Ahsante nimekuelewa ujumbe umefikaWanabodi,

Pascal huwa unajishushia heshima kwa mambo kama haya.Wanabodi,

Wewe pasco mbona mchokozi?Wanabodi,