Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

heka heka gani unanishauri nimpe
 
Mwanamke akicheat hasamehewi, narudia tena hasamehewi, usirogwe ukamsamehe, UMEKWISHA.

kwamza hiyo kesi yako hao sio watu wa kuachana na hakuna ibilisi kwenye mara 2, kaishatafunwa ya kwanza so hiyo ya pili wakati wanaenda site anajua kabisa kifuatacho ITV.

take it from me.
 
Kama jamaa kamla peku mara mbili hutoweza kuwatenganisha halafu wadada wa cku hizi ni ngumu sana kutulia na mwanaume mmoja hilo sahau cha msingi huwa tunaangalia kwamba demu akusikilize na kukuheshimu wewe kuliko wengine basi
 
mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe.
 
Huu ushauri ninaokupa Mimi Unaweza Ukauchukua Ukauacha Kama Moyo wako Umependa sana

1. Mwanaume akishagundua Kasalitiwa Mapenzi hushuka kutoka [emoji817] mpka 0 kwa Mwanamke

2. Mwanamke Ambaye amekusaliti jua Kwamba hakuanza Kukusaliti hapo alianza zaisi ya Hapo sema Hukujua

3. Wasaliti hawaombi Msamaha kwa Kujutia Makosa yao ila Wanaomba Msamaha Kwa Sababu umemfuma kwahiyo atarudi kwa Mchepuko wake na Kumwambia Tubadili Gear tumekamatwa na Yule mshenzi

Ila Kma Wewe pia Ni Msaliti Basi Pokea Malipo Yako kutoka Kwake

Kikubwa Mwache.. Angalia Umri wako wewe ulivyo na Yeye hapo Ukijiharibia Umejiharibia Mazima maisha. Yeye Bado Damu inachemka Tafuta Mwanamke mwenye 25+ Huyo Bado Hajitambui
 
Jitahidi uachane nae huyo,hiyo tabia hata iacha,na itakuwa mara nyingi tu analiwa
 
nikimsamehe itakuwaje mkuu
 
Kama jamaa kamla peku mara mbili hutoweza kuwatenganisha halafu wadada wa cku hizi ni ngumu sana kutulia na mwanaume mmoja hilo sahau cha msingi huwa tunaangalia kwamba demu akusikilize na kukuheshimu wewe kuliko wengine basi
dem ananisikiliza na kuniheshimu,vip apo niendelee nae?
 
asante kwa ushauri wako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…