Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Mimi nakushauri kuwa umsamehe tu kwasababu umekiri wewe mwenyewe kuwa hata wewe si mwaminifu na ameshawahi kukufuma mara moja, Kumbe ni busara sana kumsamehe kwasababu hata yeye ni binadamu pia,na kwa ubinadamu huo anaweza kukosea.Msamaha ni tiba.
kumbuka karudia mala mbili kunicheat
 
Wewe umeizoea Tunda ya huyo demu,ni kipi huna Mpaka akusaliti mara mbili? Unafikiri Upendo utakuwepo hapo Tena? Huyo hakutaki kakuchoka
mbona saiv analia hata kazini haendi na kula hali, Saiv tu apa nimetoka kumuona alinipigia ananihitaji,nimekuta amekonda kwa siku mbili tu,anajuta eti. ila nimemkazia sijamsamehe
 
Bora ubaki na tope lako kwani mnafsnana na imeandikwa...nitakupa wa kufanana nawe.
 
asante kwa ushauri wako mkuu, kuhusu kuacha kazi hawez na mi siwez kumuachisha mana wazaz wake walimsomesha wanamtegemea afu kuipata hiyo kazi kaipata kwa mchongo wa mjomba wake kamuunganisha na bosa wa hiyo kampuni.
 
Asante kwa ushauri wako mkuu.ila anacholilia saiv anataka msamaha wangu asikie natamka mdomoni, kuendelea nae kimya kimya itamletea maswali
 
asante kwa ushauri wako mkuu, kuhusu kuacha kazi hawez na mi siwez kumuachisha mana wazaz wake walimsomesha wanamtegemea afu kuipata hiyo kazi kaipata kwa mchongo wa mjomba wake kamuunganisha na bosa wa hiyo kampuni.
Inaonekana unampenda na kumwacha si rahisi sana maana kitendo cha yeye kwenda site na washkaji ni risk sana wanaweza mpa pombe akisha changamka mwendo ni ule ule c unajua ugumu wa demu ni mara ya kwanza tu ... eb nikishauri anza taratibu kujitoa kwake yaani itoe nafsi yqko kwake taratibu kama ukikuwa unampigia simu mara 3 kwa siku walau fanya mara moja ... then sikilozia
 
Asante kwa ushauri wako mkuu.ila anacholilia saiv anataka msamaha wangu asikie natamka mdomoni, kuendelea nae kimya kimya itamletea maswali
Labda nichangie kidogo.
Inategemea mna malengo gani.
1. Ikiwa ni urafiki wa kufurahishana na kukata mihemko ya ujana msamehe maisha yaendelee

2. Ikiwa mnapanga kuoana mnajitesa bure wote mmeharibu.
Ndoa na mapenzi ya dhati msingi wake ni uaminifu na ninyi wote 2 mmeutikisa huo msingi.
Mkilazimisha mtateseka bure.

Ikiwa jibu lako ni namba 1. Msamehe muendelee kila mmoja akisubiria mwenza sahihi.
Ikiwa jibu lako ni 2.
Msamehe lakini anza kujipanga kujionfoa taratibu kwenye kifungo hicho utafute mwingine.
Uchumba hausuluhishwagi mkuu ukilazimisha mnajimaliza
 
Ulimuahidi akuambie ukweli,kama hataki muachane. Keep your promise.

Keep your promise mzee.
 
asante kwa ushauri
 
shukurani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…