Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.

Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.

Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!

Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.

Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.

ASANTENI.

Vijana mna kazi Sana. Mtu pekee waweza mfiiria baada ya usaliti ni mke mwenye zaidi ya mtoto 1, ambaye Hana mtoto au Ana mtoto mmoja ni wa kuacha!

Sasa mwanaume gani wauliza kuacha GF Baada ya kucheat, hakuna mjadala
 
Kama ameonesha kujutia msamehe tuu.. binadadamu tumeumbiwa makosa

Kama hutaweza kumsamehe no kheri muachanetuu
 
Vijana mna kazi Sana. Mtu pekee waweza mfiiria baada ya usaliti ni mke mwenye zaidi ya mtoto 1, ambaye Hana mtoto au Ana mtoto mmoja ni wa kuacha!

Sasa mwanaume gani wauliza kuacha GF Baada ya kucheat, hakuna mjadala
ko hata nikimsamehe hawez acha kuliwa eti.
 
sasa ndo nnayempenda kati ya hao wanne, si unajua unaweza ukawa na madem ata kumi lakini yupo mmoja tu kati yao ndo unampenda kuzidi wengine,sasa ukigundua si utaumia,,na ndo kilichonitokea mimi hadi nimeshindwa kufanya maamuzi sahihi,ndo nikaja huku kupata ushauri wenu afu niuchambue nipate maamuzi.
Mimi nakushauri achana nae, mwanamke akikucheat huwa haachi. Labda angekua mkeo au lah mmekaa kwenye mahusiano mda mrefu na ishu ka izo zishawahi kutokea mkasameheana enzi hizo.

For now PIGA CHINI.
 
afu ujue nini mwamba,dem kagoma kunipa namba ya bwanake, eti anaogopa atafukuzwa kazi,imekaaje hiyo
 
amejutia,,japo kagoma kunipa namba ya uyo bwana,vipi hilo swala la kugoma kunipa namba ya bwanake.
Haijalishi amelala na Nani huna haja ya kuchukua namba.. as long as amejutia it's enough ukichukua namba itakuumiza mwenyewe tuu
 
afu ujue nini mwamba,dem kagoma kunipa namba ya bwanake, eti anaogopa atafukuzwa kazi,imekaaje hiyo
We jamaa boya sana sasa wewe namba ya bwanake ya nini?? Unataka afanye nini na wewe??

Acha uboya kwanza ushaharibu kuomba namba ya uyo jamaa, una wivu wa kike na wa kipumbumbavu sana we jamaa..

Nshakwambia kama unaendelea nae we endelea nae na usamehe na kusahau, kama huwezi kusamehe muache binti wa watu.

Huo upuuzi unaoufanya utakuja kujuta, huyo mwamba atakuona we ni fala na boya na hataacha kukuchapia demu wako milele.
 
Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja.

Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30.

Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia ukweli lakini nikamwambia tuachane kama anataka turudiane aniambie ukweli, ee bana ee akafunguka ni kweli alinisaliti na mmoja wa wafanyakazi wenzie sababu akanambia alipitiwa tu. Amelia sana nimsamehe hatorudia tena amekiri kosa na anahitaji msaada wangu. Nimempa siku nne nmefikirie namsamehe au laa!

Japo huyu dada siishi nae anakaa geto na mwenzie huyo wa kike, na kwa maelezo yake ametembea na huyo jamaa mala mbili tu,ile siku na kabla ya hapo.

Umri wa huyu dada ni miaka 22, mimi 27 mi mwenyewe pia namsaliti mara kibao na nina wanawake wengine wawili na ashanifuma mara moja akanisamehe. Nimeongea haya ili niwape picha kamili ili mtoe ushauri kulingana na yeye na mimi pia.

ASANTENI.
Mimi nimeona umeshamsamehe tayari ila unataka kukajazia nyama kamsimamo kako kawe na nguvu. Songa mbele kijana
 
sasa ndo nnayempenda kati ya hao wanne, si unajua unaweza ukawa na madem ata kumi lakini yupo mmoja tu kati yao ndo unampenda kuzidi wengine,sasa ukigundua si utaumia,,na ndo kilichonitokea mimi hadi nimeshindwa kufanya maamuzi sahihi,ndo nikaja huku kupata ushauri wenu afu niuchambue nipate maamuzi.
Huyo wewe unapata ugumu najua Kwa kuwa Tunda yake umeiozea.Ila mengine ziadi ya hapo hakuna.Mwanamke akikucheat Tena anasema mara mbili.Ujue Upendo upo Kwa jamaa huyoo
 
We jamaa boya sana sasa wewe namba ya bwanake ya nini?? Unataka afanye nini na wewe??

Acha uboya kwanza ushaharibu kuomba namba ya uyo jamaa, una wivu wa kike na wa kipumbumbavu sana we jamaa..

Nshakwambia kama unaendelea nae we endelea nae na usamehe na kusahau, kama huwezi kusamehe muache binti wa watu.

Huo upuuzi unaoufanya utakuja kujuta, huyo mwamba atakuona we ni fala na boya na hataacha kukuchapia demu wako milele.
[emoji38][emoji1][emoji1] Daah!
nafanya ivo ili nijue nimpime imani yake,na kama kweli kaamua kubadilika na kuachana na uyo jamaa.
 
Haijalishi amelala na Nani huna haja ya kuchukua namba.. as long as amejutia it's enough ukichukua namba itakuumiza mwenyewe tuu
nataka kujua kama kweli wameachana na jamaa
 
Mimi nimeona umeshamsamehe tayari ila unataka kukajazia nyama kamsimamo kako kawe na nguvu. Songa mbele kijana
sijamsamehe hadi saiv, japo bado analialia nmsamehe
 
nataka kujua kama kweli wameachana na jamaa
Muamini yeye.. atakama ametongozwa na Putin hiyo ndo Siri imefanya mpaka leo Bill nas yupo na Nandi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo wewe unapata ugumu najua Kwa kuwa Tunda yake umeiozea.Ila mengine ziadi ya hapo hakuna.Mwanamke akikucheat Tena anasema mara mbili.Ujue Upendo upo Kwa jamaa huyoo
dem mwenyew hana maajabu yoyote kitandani basi tu yaan.
 
Hahahah labda ana Tunda Mn....na Lenye 200C hukooo .Hiyo Siri yakooo....Ndio Maana unapata ugumu na kuja huku Kuomba ushauri
sawa anayo mnato,afu ujue mi ndo niliitoa bikira yake kikamilifu, alikuwa ametolewa lkn jamaa alifanya alomtoa bk walifanya mala moja afu mi nkamkuta wa pili ko k ilikuwa kama vile bado bikra, siku ya kwanza iligoma kuingia kabisa[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom