Anasema ananipenda ndiyo maana kaniambia ila wanaume 7 ni wengi mno
🤣🤣🤣🤣 Umedanganywa, just hao wote hakuna anayemtaka tena that's why ni zamu yako. Aache wanaume wanaompa awe na wewe , siku akitaka tena fedha 🐈🐈🐈🐈🎤.
Kama angekuwa worth it, ktk wanaume wote hao saba, Mmoja ata angefikiria kumchumbia.
Mwanaume ukioa jua u have alot to loose, basi chagua basi yupi roho haitouma kupoteza hivo vitu.
Mdada yuko smart, amejua weakness yako ni kutaka ile sense ya Kuonekana unapendwa etc, so amesema yote uone ktk wote alionao amekuchagua wewe🤣🤣..
Naambatisha video kadogo uone jinsi wadada wanavyoweza ongea uongo, wakijua ni uongo lakini wanasema kwa ujasiri mbele ya hadhira, na bila sense ya aibu ,wakimuingiza MUNGU, harafu wakidakwa wanakiri ilikuwa uongo. Women sio weak au naive kama unavyodhani.
Mimi sio team kataa ndoa, ila oa anayestahili kula uhuru wako, resources zako na muda wako.