Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Mpenzi wangu amenambia ana ma-ex 7

Huyo yupo royal sana yani miaka 6 uliyo muacha ametembea na wanaume 7 tu! Na anakuambia
Kiasi kwamba ni bwege mmoja tu alimzingua akawa ame-date na wanaume wawili kwa mwaka 1.

Naomba nijue na wewe kwa miaka hiyo 6 umetembea na wanawake wangapi alafu nikushauri nini chakufanya mkuu.
 
Huyo yupo royal sana yani miaka 6 uliyo muacha ametembea na wanaume 7 tu! Na anakuambia
Kiasi kwamba ni bwege mmoja tu alimzingua akawa ame-date na wanaume wawili kwa mwaka 1.

Naomba nijue na wewe kwa miaka hiyo 6 umetembea na wanawake wangapi alafu nikushauri nini chakufanya mkuu.
nimetembea na 6
 
Anasema ananipenda ndiyo maana kaniambia ila wanaume 7 ni wengi mno
🤣🤣🤣🤣 Umedanganywa, just hao wote hakuna anayemtaka tena that's why ni zamu yako. Aache wanaume wanaompa awe na wewe , siku akitaka tena fedha 🐈🐈🐈🐈🎤.

Kama angekuwa worth it, ktk wanaume wote hao saba, Mmoja ata angefikiria kumchumbia.

Mwanaume ukioa jua u have alot to loose, basi chagua basi yupi roho haitouma kupoteza hivo vitu.

Mdada yuko smart, amejua weakness yako ni kutaka ile sense ya Kuonekana unapendwa etc, so amesema yote uone ktk wote alionao amekuchagua wewe🤣🤣..

Naambatisha video kadogo uone jinsi wadada wanavyoweza ongea uongo, wakijua ni uongo lakini wanasema kwa ujasiri mbele ya hadhira, na bila sense ya aibu ,wakimuingiza MUNGU, harafu wakidakwa wanakiri ilikuwa uongo. Women sio weak au naive kama unavyodhani.

Mimi sio team kataa ndoa, ila oa anayestahili kula uhuru wako, resources zako na muda wako.
 
Kwani wewe kipindi hicho cha miaka 6 umekua na wanawake wangapi?
Ila pia kama kijijin kwenu ni ukanda wa pare,sambaa,barabara yenye vumbi jingi mpaka singida ,kondoa huko braza kaa mbali
 
Usidanganywe humu wanaojifanya kushangaa,wengi hata idadi hawakumbuki,afadhali huyo alikuwa honest,hilo swali hutapata anaekujibu ukweli ni unafiki unaendelea.
 
Back
Top Bottom