Woyowoyowoyo..!๐๐คธWatoto wadogo , hao kaka mkubwa.
Nyie vijana wakubwa kwa wazee ni mwendo wa kimya kimya, hii nimeipenda sana.Watoto wadogo , hao kaka mkubwa.
Tulia wewee mchumba wa Lucas MwashambwaWazee wa jf nao wameona wasibaki nyuma, Nisione mtu anawaponda watoto wa elfu 2 akili wamerithi kwa wazazi wao...!๐คธ
Yan, shwaaa kama tai tu , huku tunakula popcorn ๐ฟ tuna wa dere tu.Nyie vijana wakubwa kwa wazee ni mwendo wa kimya kimya, hii nimeipenda sana.
Kwani wanaangalia avatar? Wanaoangalia na kuvutiwa na avatar wana shida zao, watu wanavutiwa na handwriting, thinking ya mtu na haiba(vyote vinaonekana kwa mwandiko tu).๐Jina ephen avatar sneaker we huogopi? Mtu akija akikutana na mwamba ajiandae
Mimi mchumba angu ni weweโบ๏ธ
Ukiona watu wakawa na mazoea sanaaa halafu mara paap kimyaa, basi tena๐คฃ๐คฃYan, shwaaa kama tai tu , huku tunakula popcorn ๐ฟ tuna wa dere tu.
Mimi mwandiko wa Lucas Mwashambwa unanivuruga๐คธKwani wanaangalia avatar? Wanaoangalia na kuvutiwa na avatar wana shida zao, watu wanavutiwa na handwriting, thinking ya mtu na haiba(vyote vinaonekana kwa mwandiko tu).
Kama kuna ukweli hivii๐Ukiona watu wakawa na mazoea sanaaa halafu mara paap kimyaa, basi tena๐คฃ๐คฃ
Naona wote mnabubujikwa na machozi, sa inakuwaje mkienda kunako, mnakuwa mnabubujikwa balaa nahisi๐คฃ๐คฃMimi mwandiko wa Lucas Mwashambwa unanivuruga๐คธ
๐Dah!Naona wote mnabubujikwa na machozi, sa inakuwaje mkienda kunako, mnakuwa mnabubujikwa balaa nahisi๐คฃ๐คฃ
Kama kuna ukweli hivii๐
Muoe wewe kaka angalau ushazoea, usipomuoa wewe amuone nani ๐Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...๐
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...๐ณ
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...๐ค
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...๐
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..โน๏ธ
Basi wewe ni mtu safiiiiโบ๏ธNo sina I'd nyingine mimi ni mimi jana leo na hata milele.
Basi tuishie hapa nisianze kulia bure๐Ndivyo ilivyo, huwezi kuona tena utani na mapenzi ya wazi... na kutaniana๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sio kweli ๐๐๐Basi wewe ni mtu safiiiiโบ๏ธ
KwaniniSio kweli ๐๐๐
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...๐
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...๐ณ
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...๐ค
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...๐
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..โน๏ธ
๐๐๐ unajua nini!!! Maisha ni furaha .Kwanini