Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

🍵 ☕️ 🫖 🍵 ☕️
 
Umemshirikisha mkeo kwamba unataka kuoa mke mwingine?
 
Kama uhitaji ushauri umeleta hiyo thread ya nini mkuu au unajaza server za jamiiforums tu
 
Mkuu hii chai haihitaji sukari😄😄😄😄
 
Mimi nilijuaga wewe ni mbabu age go kumbe bado unatafuta
Muhuni huyu, Leo kapika ugali na tembele na wale dagaa wa kwao upareni.
Mwa J atakua zinga la pisi, limeenda juu na tako Hilo.
Sasa mdada aliyekwenda juu na wapare walivyo wafupi wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…