Mpenzi wangu ananisaliti huku naona kabisa

Mleta mada mjinga
hapa sio mjinga mjinga ni yule anae patwa na tatizo badala ya kuomba ushauli akaishia kufanya matukio mabaya huyu jamaa ni jasili sana ushauli wangu atafute mwingine kisha huyu ampige chini
 
Pole sana jirani shida alikuja mwenyewe mi nikashindwa kukataa
 
Huyo n mke wa mtu wewe ndio umevamia

Ushauri wangu msamehe tu ili uendelee kupata utelezi wa bure
 

Kujihimia job,,, in makonde language maana yake kuamka mapema kwenda job. Kwa utamaduni wenu wala sishangai.
 
Unalalamika hali umenunua vitumbua vya jana mwenyewe
 
Kama mtoto sio wako, unashangaa vipi 'demu' kutokuwa wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…