Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Haha haaaa kiwanja changu ajenge mwanaume ambaye sijafunga nae ndoa?sio kweli,Hilo ni kosa la kiufundi baharia🤦🤦
Mwenyekiti ushalewa penzi nakuona toka jana husimamii misimamo ya chama!!
Hivi ndoa hapo inahusikaje na ikiwa huduma zote za ndoa bidada anatoa?
Tutapiga kula za kutokuwa na imani na wewe 🤣🤣🤣 kazi imeanza kukushinda
 
Tatizo mwanaume akishajua kaweka hata mifuko miwili ya cement anasema Ile nyumba yake!🤣🤣🤣
 
Kama hamjafunga ndoa kila mtu afanye investment kivyake mambo yasiwe mengi badae huko
 
Kwahiyo kujenga pale ni shida, ila sisi ku support ujenzi kwenye viwanja vyenu ni sahihi?

Yeap nisahihi, maana mwanamke anaweza kwenda mahakani kudai mali za mwanaume kisa kumzalia tuu ila mwanaume hawezi kwenda mahakami kudai mali za mwanamke hatakama mnawajukuu dunia itamwona punguani.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…