Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Jenga mwenyewe 😂 😂 😂 , hakuna jinsia inayoongoza kwakutokuheshimu ndoa kama yenu, yaani wataheshimu hisia ila sio ndoa. Acha kumanipulate mtoto wa watu, alikutuma ununue hicho kiwanja.
 
Kwahiyo kujenga pale ni shida, ila sisi ku support ujenzi kwenye viwanja vyenu ni sahihi?
Hao wanawake wapo wapi, mwanamke kuweka tu senti moja kwenye maisha ya mwanaume atajiona ni bingwa na msingi wa maisha yake. Huoni wanakwambia hata mali mme atafute za kwake. Wanaume hawataki atasapoti yenu maana ilitucost.
 
Mchunguze vizuri jamaa ikiwezekana kagua phonebook yake uone kama kuna jina limeseviwa ACHRAF HAKIM, ukikuta hilo jina usituke ndio tulivyoamua sasahivi
 
Huyu jamaa yake ilitakiwa kama sisi wanaume tupate namba yake ili tuweze kumsaidia zaidi kimawazo, wanawake wana nguvu sana tusipo mweka karibu na sisi wanaweza wakamlegeza msimamo wake.

POPOTE ULIPO WEWE JAMAA ULIYEKATAA KUJENGA KWENYE KIWANJA CHA MWANAMKE WAKO , JUA SISI KAMA WANAUME TUNAKUUNGA MKONO NA TUNAKUOMBEA SANA KWA MSIMAMO WAKO ILI USIJE UKAYUMBISHWA KAMA SAMSONI ALIVYO FANYWA NA DELILA
 
😀😀😀 .......nipe no yake nimshauri jambo
 
Kwa nini watanzania tunapenda kusaidiwa badala ya kujitegemea. Nilisikia habari ya jeneza kubebwa na gari ya serikali na kupaki bar huko Arusha . Kama gari sio ya kwako na umesaidiwa hautakiwi kulalamika. Ukitaka kuishi kwa raha inabidi ujitegemee kadri unavyoweza ? Hapa sio kwa wanaume au wanawake maisha ni magumu sana siku hizi. Ukitegemea misaada watakupoteza binadamu sio watu.
 
asirogwe akafanya hicho kitu, muuzie hicho kiwanja
 
ACHA UTANI NA HELA ZA WATU NI BORA AKATOE FUNGU LA KUMI KANISANI.
 
Huyo ni husband material,

Mng'ang'anie,

Male always looks for value for money in the investment, kama ameweza kukogomea wewe atagoma vingi vya msingi ili angalie value of the investment in general,

Atafika mbali katika maisha. With you or without you, so kama ni mwanamke makini/wife material then huyo jamaa anakufaa, mtajenga familia strong sana

Kama ni mwanamke wa kutaka leo bila kujua kesho itakuwaje, then mkimbie mtaishi maisha magumu sana hapa mwanzoni, anasa utasikia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…