Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Jenga mwenyewe 😂 😂 😂 , hakuna jinsia inayoongoza kwakutokuheshimu ndoa kama yenu, yaani wataheshimu hisia ila sio ndoa. Acha kumanipulate mtoto wa watu, alikutuma ununue hicho kiwanja.Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]
Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.