Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

Zozotoli

Member
Joined
Jun 21, 2021
Posts
22
Reaction score
53
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.

Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia mtoto pesa za matumizi uko aliko kimbilia Ali enda kupana mimba sasa demu.

Sasa demu uyo tulivyo tongozana Ali amua kuniambia tu ukweli kuwa ana mtoto nika muuliza situation ili kuwaje mpaka baba mwenye mtoto asi kuweke ndani demu aka niambia nili kuwa bado mdogo saana yaani Ali kuwa ana miaka 14 sasa ivi ana miaka 20.

Sasa baba mtoto wake Ali kimbia baada ya kuona awezi muowa mtoto mdogo. Tulipendana naye sasa ivi niko kwenye mpango wa kumchukuwa ni muongeze kwenye mchakato wangu Wa kwenda usa naye nilivyo muhuliza kuhusu mtoto ita kuwa aje na omba ashirikishe baba Wa mtoto ili naye ajue mwanao ana taka kwenda marekani demu ana kataa eti awezi muambia nime jaribu.

Kumbembeleza demu aka kataa cha ajabu mtoto yule ame ni ambia kuwa ata ni kabizi mimi maana Mimi ndo nime mlea uyo mtoto kipindi na mtongoza mama yake nili kuwa na mpelekea nguo na vijizawadi vingi.

Sasa ndugu zangu je uyo mtoto mimi ni kubali kumchukua au vipi maana ata mtoto wake ana fikiriaga mimi ndo baba yake sasa ivi ana miaka 3 na nusu ana ni ita mimi baba.
 
Ivi unakwama wapi adi unataka kuoa single mother nakati wasichana wabichi wapo wamejaa apo ni sawa na kuchukua soda ambayo imeshafunguliwa
 
Shida sio wakweli

Anakuambia, Sijui jamaa likimbia, sijui jamaa hamjui mtoto, sijui jamaa hajawah hata mtumia senti.


Lkn deep down, wanawasiliana kinyama.


Sasa mwanamke akishakua Mwongo, HAFAI
 
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto
Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.

Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia mtoto pesa za matumizi uko aliko kimbilia Ali enda kupana mimba sasa demu

Sasa demu uyo tulivyo tongozana Ali amua kuniambia tu ukweli kuwa ana mtoto nika muuliza situation ili kuwaje mpaka baba mwenye mtoto asi kuweke ndani demu aka niambia nili kuwa bado mdogo saana yaani Ali kuwa ana miaka 14 sasa ivi ana miaka 20

Sasa baba mtoto wake Ali kimbia baada ya kuona awezi muowa mtoto mdogo
Tulipendana naye sasa ivi niko kwenye mpango wa kumchukuwa ni muongeze kwenye mchakato wangu Wa kwenda usa naye nilivyo muhuliza kuhusu mtoto ita kuwa aje na omba ashirikishe baba Wa mtoto ili naye ajue mwanao ana taka kwenda marekani demu ana kataa eti awezi muambia nime jaribu

Kumbembeleza demu aka kataa cha ajabu mtoto yule ame ni ambia kuwa ata ni kabizi mimi maana Mimi ndo nime mlea uyo mtoto kipindi na mtongoza mama yake nili kuwa na mpelekea nguo na vijizawadi vingi

Sasa ndugu zangu je uyo mtoto mimi ni kubali kumchukua au vipi maana ata mtoto wake ana fikiriaga mimi ndo baba yake sasa ivi ana miaka 3 na nusu ana ni ita mimi baba
Alibeba mimba akiwa na miaka 14, saivi ana miaka 20 lakini mtoto ana miaka 3[emoji848]
 
Jibu langu ni hiyo ID yako.
Kila siku hapa JF wanasema ukitaka kuoa demu mwenye mtoto, hakikisha umeliona kaburi la mzazi mwenzake.
 
Jamaa mbona unatupa chai ya pilipili? demu wakat anapewa mimba alikua ana miaka 14, sasa hivi ana miaka 20 afu mtoto ana miaka 3. Sema ID yako nimeipenda
 
Back
Top Bottom