Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

Mtoto sasa hivi ana miaka mitatu,
Mama yake alimzaa akiwa na miaka 14, na sasa hivi Mama ana miaka 20..

Wasalimie USA.
 
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.

Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia mtoto pesa za matumizi uko aliko kimbilia Ali enda kupana mimba sasa demu.

Sasa demu uyo tulivyo tongozana Ali amua kuniambia tu ukweli kuwa ana mtoto nika muuliza situation ili kuwaje mpaka baba mwenye mtoto asi kuweke ndani demu aka niambia nili kuwa bado mdogo saana yaani Ali kuwa ana miaka 14 sasa ivi ana miaka 20.

Sasa baba mtoto wake Ali kimbia baada ya kuona awezi muowa mtoto mdogo. Tulipendana naye sasa ivi niko kwenye mpango wa kumchukuwa ni muongeze kwenye mchakato wangu Wa kwenda usa naye nilivyo muhuliza kuhusu mtoto ita kuwa aje na omba ashirikishe baba Wa mtoto ili naye ajue mwanao ana taka kwenda marekani demu ana kataa eti awezi muambia nime jaribu.

Kumbembeleza demu aka kataa cha ajabu mtoto yule ame ni ambia kuwa ata ni kabizi mimi maana Mimi ndo nime mlea uyo mtoto kipindi na mtongoza mama yake nili kuwa na mpelekea nguo na vijizawadi vingi.

Sasa ndugu zangu je uyo mtoto mimi ni kubali kumchukua au vipi maana ata mtoto wake ana fikiriaga mimi ndo baba yake sasa ivi ana miaka 3 na nusu ana ni ita mimi baba.
Hiyo id yako inasadifu akili yako wewe endelea kuwa mpumbavu hivyo hivyo.
 
Alipigwa mimba akiwa na miaka 14 ila saiv ana miaka 20 na mtoto ana miaka 3. Wabebe tu uende nao USA mkuu
 
Watu wa USA RIVER mkuje huku mbebe huyu Pumbavu mpelekeni milembe akahungane na Ndu guy!

😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom