Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

ukipenda ua penda na boga lake chukua kiumbe hicho kina baraka zake kweny huu ulimwengu.
 
Huo uandishi ndo uende US, hii kamba ndefu mno
 
Alipata mimba akiwa na miaka 14, sasa hivi yeye ana miaka 20 na mtt ana miaka 3 ? Any ways ww ndo muamuzi wa mwsho mambo ya muhusiano mm huwa napenda kuamua mwnyw
 
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto...
yaan mtu amebeba ujauzito akiwa na miaka 14 baada ya kujifungua ni miaka mitatu na nusu alaf huyo mama awe na miaka 20 sasahivi🤔

Hapo unatupeleka Chaka ndugu🤒
 
Utakuja kujuta baadae..Kama rafiki angu anavyojuta Sasa hivi..
 
Mkuu tumia Jina ya I'd yako kutatuta hii issue n simple sana
 
ID yako inashabihiana na huu upumbavu uliouandika hapa. Wasalimie sana USA River 😜
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto
Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.

Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia mtoto pesa za matumizi uko aliko kimbilia Ali enda kupana mimba sasa demu

Sasa demu uyo tulivyo tongozana Ali amua kuniambia tu ukweli kuwa ana mtoto nika muuliza situation ili kuwaje mpaka baba mwenye mtoto asi kuweke ndani demu aka niambia nili kuwa bado mdogo saana yaani Ali kuwa ana miaka 14 sasa ivi ana miaka 20

Sasa baba mtoto wake Ali kimbia baada ya kuona awezi muowa mtoto mdogo
Tulipendana naye sasa ivi niko kwenye mpango wa kumchukuwa ni muongeze kwenye mchakato wangu Wa kwenda usa naye nilivyo muhuliza kuhusu mtoto ita kuwa aje na omba ashirikishe baba Wa mtoto ili naye ajue mwanao ana taka kwenda marekani demu ana kataa eti awezi muambia nime jaribu

Kumbembeleza demu aka kataa cha ajabu mtoto yule ame ni ambia kuwa ata ni kabizi mimi maana Mimi ndo nime mlea uyo mtoto kipindi na mtongoza mama yake nili kuwa na mpelekea nguo na vijizawadi vingi

Sasa ndugu zangu je uyo mtoto mimi ni kubali kumchukua au vipi maana ata mtoto wake ana fikiriaga mimi ndo baba yake sasa ivi ana miaka 3 na nusu ana ni ita mimi baba
 
Back
Top Bottom