Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

ukipenda ua penda na boga lake chukua kiumbe hicho kina baraka zake kweny huu ulimwengu.
 
Huo uandishi ndo uende US, hii kamba ndefu mno
 
Alipata mimba akiwa na miaka 14, sasa hivi yeye ana miaka 20 na mtt ana miaka 3 ? Any ways ww ndo muamuzi wa mwsho mambo ya muhusiano mm huwa napenda kuamua mwnyw
 
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto...
yaan mtu amebeba ujauzito akiwa na miaka 14 baada ya kujifungua ni miaka mitatu na nusu alaf huyo mama awe na miaka 20 sasahivi🤔

Hapo unatupeleka Chaka ndugu🤒
 
Utakuja kujuta baadae..Kama rafiki angu anavyojuta Sasa hivi..
 
Mkuu tumia Jina ya I'd yako kutatuta hii issue n simple sana
 
ID yako inashabihiana na huu upumbavu uliouandika hapa. Wasalimie sana USA River 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…