Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

Yaani we jamaa ni muongo mpaka aibu naona mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu kaongeze maji kwenye maharage fala wewe
 
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.
Haya Majuto amka kumekucha wahi shule acha kuota.
 
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.

Kwa nyie wacongo ni sawa ila sisi Watanzania big No
 
Ukipenda boga penda na ua lake tafadhali
 
Usihangaike na mtoto wa mwenzio. Zaa wako. Kwani wanawake wamekwisha hadi upewe mtoto kana kwamba wewe huzai?

Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.
 
Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu

Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake.
Kumlea mtoto ni baraka ila fahamu ipo siku mtoto atamtafuta baba yake . vilevile washirikishe wazazi wake na ndugu zake kimaandishi wasije kukruka baadaye refer kesi ya diamond Vs baba yake wa kumlea
 
Huo uandishi wako mi sijaelewa.unazungua usa ilipo arumeru mkoani arusha au
 
Okey hivyo alipata mimba akiwa na miaka 14 saivi ana miaka 20 halafu mtoto ana miaka mitatu sawa sawa
 
USA - United States of America
usa - Usariver ngarinero arachuga

mbebe tu mwanao ila swala la kumvutisha bangi mwache achague mwenyewe usimlazimishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…