Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

Story yako ina walakini, kama alipata mimba akiwa na miaka 14, na sasa ana miaka 20 tukitoa miezi 9 ya kubeba mimba basi mtoto anabidi awe na miaka 5 na siyo 3.
 
Umeandika kijinga jinga sana kama uzi wako ulivyo. Uhariri kidogo ili tuelewe.
 
Sasa hapo tatizo ni nini?
 
Alipata mimba akiwa na miaka 14, jamaa yake akakimbia kwa sababu binti alikuwa bado mdogo, mpaka sasa mama ana miaka 20 ila mtoto ana miaka 3!
20-14=6 tukitoa mwaka mmoja wa mimba mtoto alipaswa kuwa na si chini ya miaka 5!

Mbona kama sielewi elewi
 
Unaandika vibaya,sentensi ziko vibaya na aya mbovumbovu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
14-20 alipata mimba miaka akiwa na miaka 14 na sasa ana miaka 20 na mtoto ana miaka 3.hiyo hesabu nakataa
 
Haya siyo ya kuuliza kwa mwanaume rijali jaribu kutunza heshima ya mtu kama unampenda. Humu tumefichama lakini unayoyasema yapo wazi watu ni wahangwa wa kuzalia nyumbani na wanaweza hisi ni wao wanasemwa na wenzao wakapoteza amani kijinga.

Muoe tulia lea mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…