Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

mkuu inategemea ni vigumu kuelewa anamaanisha nini kwa kutuuliza sisi kwani kunaweza kuwa na sababu nyingi za yeye kukuita hivyo zipo sababu nzuri na zipo sababu mbaya.

Nakushauri fanya uchunguzi kuhusu suala hili mwenyewe moja kwa moja kutoka kwake epuka maneno ya watu huku mtandaoni yasiyo na maana au uhakika, kwahiyo ili kupata uwakika zaidi fanya utafiti mwenyewe japo kuitwa papa sio jambo baya inaweza kuwa ni utani tu wa mpenzi wako. kila la kheri mkuu.

cc Mummy Bantu Lady
 
Waliwahi kukusaula nn? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nnae sema yeye hajawahi kunipiga vizinga kuna siku nikamuuliza mbona hujawai niomba hela, akajibu kwa sababu huwa ninampa. Ila hao wengine sasa hapanaaaaaa
 
Tayari unasaidiwa na njuka mwenzake jitahidi sana usihonge zaidi ya 20,000 kwa mwezi
 
🀣🀣🀣 Papaa Mobimba
 
Unamhonga sana alafu huipigi vizuri... Anakula kwako alafu tui la nazi linaenda kutolewa na mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…