Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Diddy/SponsorPoleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Mwambieni mi ndo PaPaa mkubwa mkubwa nawala Mapedesheeπhaha bora umekuja mwenye jina, msanue mwanetu asiingie chaka.
π
Itakuwa uliwaza napewa yote hadi kispika cha yasNini? Em funguka. πππ
Kispika cha yas ndo nini? Unazidi kunichanganya tyuuh, LolItakuwa uliwaza napewa yote hadi kispika cha yas
papa mobimba hiyo ni ATM card gentlemanPoleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Hongeza juhud za kumpa pesa atakuja kukuita baba mzazi huto amiiniPoleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Kisipika πππItakuwa uliwaza napewa yote hadi kispika cha yas
YeahUnahudumia sana mkuu..
Danga... Muulize Hubby wake yuko wapi π€£π€£Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
πππ daaah mbavu zangu mimi πHahah noumer sana
papaa mobimba
papaa ngwasuma
papaa mapesa
ekotitee ekotitee