Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Hapo anataka azimalize zote
 
Mnaharibia bei elekezi, inamaana wewe ni main sponsor Buzi kubwa!
 
Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Maana yake baba! Afadhali yako ngosha. Wengine wameitwa buzi, jinga, mbwa nk nk. Una bahati njemba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…