Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Papaa kwa tafsiri ni baba.

Yategemeana na orientation ya penzi lenu mlivyoliseti.

Baba yaweza tumika katika kukuita kimahaba ama kwa kukuheshimu, lakini pia kwa dharau ya kumzidi makamo.

Lakini mimi nikiitwa baba wakati nananilii huwa inaniongezea confidence kichwani, kuboost upendo na kunipandisha kiwango cha ufanisi.
 
Wewe ni "Sponsor " wake...
Anakuchuna tu...

NB: Mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa, yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe Methali 6:32
Huu mtari inabidi nuuwekee frame kabisaaa.
 
Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
We si ni babake sasa hutaki ndugu.
 
Performance yako kwa bed ni very poor but ni mzee wa kumwaga hela.Kichwa chako ni kama mkuki hausikii hadi siku ufe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ papaa Mukulu au papaa msofe

naona unatomboka tu papaa, bataleta kunyavu..utayamba upepoo
 
Mpaka hapo kameshakula za kutosha......akimaliza kukuchina ngozi atachuna mishipa
 
Wa Udom sio kitu kaguse wa kule mipango.

Wana mayutiai na maPID ila ni watam sana.
Ila mayutiai ni kila mahali sasa, I am actually starting to hate sex because of these stds kila demu wa chuo ukiruka nae lazima ukamuone daktari!😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…