Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Kutokupenda sio umalaya NI uamuzi
You have the worst poor mindset ever
Acha uongo bana, kutokupenda kunamuijiaje mtu na tayari alisha penda? Kama hakupenda maana yake hakupaswa kua nae

Mtu ambaye alikua na mtu tayari na mala akaanza kumchambua na kutoa maamuzi ya kuachana nae na akawe na mtu mwingine huyo ni Malaya tu, afadhari atoae japo sababu ya mambo ambayo hakuyajua kwa maana ya tabia ya mtu, lakini kimo Cha mtu ambacho alikiona na kukilidhia akawa na huyo mtu, anawezaje kuja kusema mtu ni mfupi, au ni mwembamba anamuonea aibu, si angekataa toka awali.
 
Unaitwa kulee kwenye kufa haraka ukizini na mwanamke
Naona hapa unaiichosha tu
 
Kwanza utuambie : Babaako na Mamaako kule Kijijini kwenu wao ni warefu ?
 
Money penny apo umegonga kwenyew kabisa kuna haha yakuwapa elimu wanawake kwa wanaume kuhusu mahusiano zaidi maana Dunia ya Leo ipo kasi zaidi ya tulivyo wanadam imetutawala akili kwa kiwango cha juu🤣
 
Mpe Raizoni
 
Ukishaanza kuona unaomba ushauri juu ya namna mwenzio alivyoumbwa basi huna mapenzi nae ya dhati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…