Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Huo ndio ukuaji ndugu mtoa mada, Hapa mutaongea yote na kumaliza kwa kumshauri bwana mtoa mada ila unfortunately hawezi akasikia wala kuelewa kwasasa.

What happens next ndio kitakujenga na kukufunza ila kwasasa naona wote humu ndani wanapiga kelele.

It has to be this way and no way out.
 
R.I.P in advance,chukua mchepuko fasta sababu utaibika very soon buda,in those days hii mambo haikuwepo,tafuta spare part kuziba puncture.
 

Tukodi gari la matangazo kwa ajili yake.
Dem miaka sita bilq kumpiga uzembe
 
Umenikumbusha bana kuna manzi mmoja wa kawaida sana, mwaka jana kawa employed in JWTZ, kuna day napita maeneo nasikia anaongea na simu kwa kufoka, kumbe anamfokea jamaa yake kuwa sasa ivi nina kazi yangu na napata mshahara, kwahiyo tulia...
 
Akufukuzae hakwambii toka! Jiongeze kijana.
 
Kwanini unajipa depression zisizo za lazima?? Si umuache uendelee na maisha yako?? Sema binadamu tupo tofauti sana aisee kwa upande wangu mimi kitakachonisumbua ni kukosa hela peke yake na sio kingine! Mwanume jitangulize wewe kabla ya mtu yeyote! Tafuta amani ya moyo, Tafuta hela, Vaa vizuri, Nukia vizuri! Attract don’t chase! Wanawake ni sefish sana mkuu they will always put themselves before anyone else🙌🏽🙌🏽
 
Mnaambiwa mkiachwa muachike - yaani vitu vingine siyo mpaka ubadikiwe bango. Mwenzako kashapata mtu wa type yake hapo kazini kwake - lunch kama zote - ha ha ha pole ( kaza roho).
 
Umenza vizuri kama mtu mwenye busara zake mjini ila ulivyomaliza sasa😂🙌🏽! Mimi nikiwa kwenye mahusiano mwanamke simjali wala kumpenda kupitiliza! The more you care the more it will hurt!
 
Mzee tafuta pesa.. Tafuta hela.. Tafuta fedha... Utanishukuru badae yeye muache Tena nawe usijishuulishe nae yani take it easy kama vile afanyavyo Sawa. Ila jua tuu huyo si wako Tena.
 
Umenza vizuri kama mtu mwenye busara zake mjini ila ulivyomaliza sasa😂🙌🏽! Mimi nikiwa kwenye mahusiano mwanamke simjali wala kumpenda kupitiliza! The more you care the more it will hurt!
🤣Nilitaka kumfanya jamaa atoe mood baya kichwan
 
ndo maana tunawaambia vijana kabla ya kuingia kwenye ndoa Muwe mnamwomba Mungu kwanza mpate mme na mke mwema. Haya yote yasingekua yanatokea
 
Mkuu hata hapa unahitaji ushauri.

Uzuri hujamuoa, sijasikia kama mmebahatika kupata mtoto, ACHANA NAE bado mapema mdogo wangu ,huo umri wako bado nimdogo usijigie moyo kuwa ataja badirika mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…