Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Waache waowane Ehh!, Be strong mwambie tu siku moja moja akuletee uipige.
 
Wakitendwa nyuzi za kataa ndoa kila kukicha, wanageuka watoa ushauri nasaha.
 
Alikua chuo, kamaliza tu chuo ndio imetokea hivo, ata graduu bado ni November,
Mkuu umejoin JF 2010...
Definitely kwa mwaka huo kujiunga JF you must be 40 plus now .. sijui labda kama ulikuwa earliest elites wa internetes...lakini hata hivyo hupungui 35+ of age.

Asa huyo binti anayemaliza chuo leo ..vipi tena!??
 
Huyu nimemuhurumia kidogo sijui kwanini au ushauri wangu hapo chini niufute, naona anajiandikia comment kumi kumi😂😂 huyu hanaga vurugu lakini, ila kuna wenzie nimeshawaona ingekuwa hao ningewaongezea maumivu
Wengine tuna roho ngumu tushapigwa matukio na hata hatujaandika kokote ni vile tu Pole pole ndio Mwendo. Na haraka haraka haina baraka japo na ngoja ngoja nayo huumiza matumbo 🤣🤣🤣
 
Mkuu umejoin JF 2010...
Definitely kwa mwaka huo kujiunga JF you must be 40 plus now .. sijui labda kama ulikuwa earliest elites wa internetes...lakini hata hivyo hupungui 35+ of age.

Asa huyo binti anayemaliza chuo leo ..vipi tena!??
Form 6, bellow 35, nimejuana nasoma Masters yeye degree, if it will help
 
Wengine tuna roho ngumu tushapigwa matukio na hata hatujaandika kokote ni vile tu Pole pole ndio Mwendo. Na haraka haraka haina baraka japo na ngoja ngoja nayo huumiza matumbo 🤣🤣🤣
Bado hujapigwa vizuri, mad max umemsoma lakini? Unafikiri ndo demu wake wa kwanza kumuacha, namsomaga km hanaga fujo sana lakini amefikia kuwaza hata kuanika picha zake mbaya ujue mwamba UMEPATWA
 
Come on man! Don’t be a simp.
Nimepata new vocabulary..

Simp (/sɪmp/) is an internet slang term describing someone who shows excessive sympathy and attention toward another person, typically to someone who does not reciprocate the same feelings, in pursuit of affection or a sexual relationship.

Mzee umemmaliza kabisa aache kua SIMP😊
 
Acha nikuibie siri, tunaumia pale tunamkuta mtu mlie achana kanona na kanawiri halafu hana stress🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…