peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
AsanteRais wa mawe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteRais wa mawe.
Its the other way round kwa baadhi yetu!.Sijapenda
View attachment 2364943
kapigwa na kitu kizito kichwani. maombi ya watanzania yameenza kujibiwaUnaweza kuzungumziaje hali iliyomkuta Mh. Waziri wa fedha leo bungeni??
Kwani ukisema tu kuwa hana Akili utapungukiwa na nini Ndugu? au unadhani ukiwa na Doctorate ( PhD ) ndiyo justification kuwa zimetimia Kichwani?Ukute alisahau neno la kitaalam akachomeka Kinyiramba
Wazee huko kijijini kwake lazima wamuandalie tambiko.Hamna ulozi wala nini hajui hizo bodi tuu.
Wachinje mbuzi wa kutosha kwamba kapigwa kipapai siyo.Wazee huko kijijini kwake lazima wamuandalie tambiko.
Leo Kawa mdogo kama mbegu ya mchicha!Unaweza kuzungumziaje hali iliyomkuta Mh. Waziri wa fedha leo bungeni??
Wabunge ni wapuuzi Sana!Kama huyu mzee Zungu anataka bundle liuzwe sh 5000 amesahau kama sera ya taifa ni vijana wasome ili wajiajiri kwenye innovation na bundle ni nyenzo ya vijana waifikie technolojia, kwa mawazo haya tutashangaa wabunge wataunga mkono, kisha baadaye wananchi wakilalamika watajifanya wapo na wananchi.