Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Akili na mipango ya USA utailinganisha na mipango ya CCM ambao huwaza kwa kutumia tumbo? Fikra zao ni kuiba tu na kujilimbukizia mali?
Rais wa Tanzania anapewa madaraka alafu kila akilala anaota uchaguzi wa mwaka 2025.Unalinganisha na Marekani kweli![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpina yuko sahihi 100%.

Mbarawa kwake unguja, Maza unguja Bandari zinabinafsishwa Huku Tanganyika na wasio wazawa kwa kigezo cha Muungano.

Waanze kubinafsisha kwanza bandari ya Zanzibar.

Wabunge wa bara hili jambo msilikubali japo Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro amepokea mlungula wa 10m Ili kuukubali mkataba wa kubinafsisha bandari zetu,

Mkumbuke wazi kuwa 80% ya Wabunge wanataka bandari ibinafsishwe 2025 hawarudi Bungeni means wanauza nchi.
 
Hata wakifisadi watakufa wataacha tuu
 
Saa100 huwa hataki bughdha kabisa anatamani hata kichwa chake angekibinafsicha ili abaki akama sanamu tu .yeye kila kitu kikimshinda anakimbilia kubinfsicha do
 
Usisemee 2025, hapa tunagusia maslahi na mustakabali wa nchi yetu. Kama serikali imeshindwa kusimamia wafanyakazi wake itaweza kumsimamia mgeni?
Thank you for greater think nice comment
 
Rais atakuwa anafsnya nini hapo juu si bora tumfungie ndan kama kuku wa kienyeji
 
Wabunge, hasa hili la Magufuli, hawajui kabisa mambo ya kimataifa wala biashara za kimataifa
 
Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini
Wanufaika wa ufisadi wa bandarini mkiongozwa na Mpina ndiyo mnapinga ubinafisishaji wa bandari
 
Kuna mpumbavu mmoha anajifanansha tanzania na marekani ,eti mboba marwkani wao wamewaweka wageni!!??
 
Mh.Mpina amekula "usambo"?!!!

Anajiropokea tu....[emoji1787][emoji1787]

Hata marekani...mashirika ya wageni ndiyo yanayopakia/pakua katika bandari zao.....

Maskini mh.Mpina [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mpumbavu mmoha anajifanansha tanzania na marekani ,eti mboba marwkani wao wamewaweka wageni!!??
Kwani tumeibinafsisha TRA na TPA?!!!!

Hivi hoja ya mifumo kusomana(TPA&TRA) si hoja jadidi kutupeleka tutakako?!!!
 
Huwa nashangaa wanaopenda kulinganisha hili dubwasha letu na nchi zilizotuacha miaka elfu.
 
Wanufaika wa ufisadi wa bandarini mkiongozwa na Mpina ndiyo mnapinga ubinafisishaji wa bandari
Sidhani kama mh.Mpina ni fisadi huko bandarini....kinachomsumbua ni "kulishwa usambo-dawa kwa wachawi)....mwishowe hujiropokea tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpina ndio anafanya Wasukuma waonekane hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…