Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Serikali kweli haina pesa. Imagine Hadi leo watumishi hawajalipwa.
Madelu anaendelea kusaini mikataba itakayo endelea kutuumiza.
Lakini za kujenga guest haouse, kumbi kubwa za mikutano, viwanja vya ndege ikulu zipo...
 
Jibwa halafu sukumagang huna hoja, mpina amezungumzia ukodishwaji wa bandari kwa mwekezaji wa nje kwa miaka 10 kuwa ni makosa.

TICKS kampuni ya nje ilipitishwa bandarini kwa zaidi ya miaka 20, he serikali ilifilisika? Kipindi cha shujaa wenu TICKS ilikuwepo bandarini.

Anyway endeleeni kupigana maana nyie CCM mna laana za watanzania
 
Sasa Samia si mwema sana?

Kwanini sasa hatengui hiyo sheria?
 
Nape hasimu wa Magufuli ameshindwa kuifuta?
 
Tuseme huyu raisi hapendi kuumiza kichwa kuhusu nchi hii ,changamota ikitokea yeye anakimbilia kubinafsisha kuna siku atabinafsisha hata ikulu wallah
 
Sasa hapa umetetea nini na wewe?

Mbona mnakuwa wapumbavu?
 
Ndiyo mfungie video ya Mpina?
 
Sasa hapa umetetea nini na wewe?

Mbona mnakuwa wapumbavu?
Mpumbavu wewe usiyeelewa. Hoja wanayolalamikia ni ukodishwaji wa bandari kwa kampuni ya kigeni kwa miaka 10, nimemueleza siyo jambo jipya TICKS walikuwepo kwa zaidi ya miaka 20. Tatizo liko wapi?

Kama huelewi basi utakuwa pumbavu
 
kwahiyo?
 
Mpumbavu wewe usiyeelewa. Hoja wanayolalamikia ni ukodishwaji wa bandari kwa kampuni ya kigeni kwa miaka 10, nimemueleza siyo jambo jipya TICKS walikuwepo kwa zaidi ya miaka 20. Tatizo liko wapi?

Kama huelewi basi utakuwa pumbavu
Ilileta tija gani hiyo TICTS
 
Sheria ipi hiyo alitunga hiyo mwendazake, halafu kwa sasa kama mnao uhuru imewasaidiaje ,
 
Umenena vema kabisa pale mwiba unapo ingia ndio hutokea hapo hapo.kila mtu atakula aliko peleka mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…