Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Habari ya mpina haiko balanced. Alipaswa atuambie huo uwekezaji utakavyonufaisha taifa kwa kuwa kila kitu kina pande mbili. Hafai kuigwa wala kusikilizwa. Sukuma gang mkubwa!!!
 
Kwenye ishu ya bandari mpina ana hoja dhaifu.

Anapoleta habari za Wahisani wanaotupa misaada wanaweza wasifurahishwe na deal hili la bandari hiyo ni hoja dhaifu, kitakachotufaa sisi ni partnership ya win-win na siyo kutembeza bakuli.

Hoja ya Usalama, Kuwa eti Dubai ikiwekewa vikwazo na sisi tutaumia. Hiyo ni fear mongering, Huwezi , What if asipowekewa?

Kama Dubai atatoa mpunga ili.kujenga hiyo bandari kwa nini asipewe priority kwenye uwekezaji?

Naona nguvu za kambi ya mwendazake kupinga ujenzi wa bandari kwa mlango wa nyuma zinaendelea.
 
Hoja dhaifu uifungie?,waiche ili wananchi tuone huo udhaifu wa Mpina, otherwise hoja yake ni murua na ina mashiko
 
CCM Mungu awalaani muendelee kuparurana hivyohivyo mpaka mtoane damu
 
Hoja dhaifu uifungie?,waiche ili wananchi tuone huo udhaifu wa Mpina, otherwise hoja yake ni murua na ina mashiko
Kama hoja yake ina mambo ambayo serikali inadhani ni upotoshaji basi kuna sheria iliasisiwa na serikali ya Magufuli kufungiafungia vitu kama hivyo
 
Ila si tuliambiwa nchi imefunguliwa ndio maana mnafanya hadi mikutano ya hadhara?
 
Kweli maana aliwaita wqtengenezaji ikulu na kukaa nao chumbani kuagiza ndege azitakazo bila kufuata hata sheria ya manunuzi . Wqjinga wqkishangilia kama wehu.
Lakini ndiyo kutwa unazipanda hizo ndege kumfuata mmeo Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…