Unatumia nguvu kubwa kulielezea hili jambo,wakti mtoa maada ameshauri tu,unaaza kutaja watu watakukalia kooni kwa kuchafua brand za watu,hamjajifuza kwa membe na musiba.Mpina kalipwa na Karamagi...
Ilikuja taarifa hapa Karamagi kawapanga wabunge machachari ...
Karamagi alikuwa mwana hisa Ticts ambao wameondolewa..dili wamepewa Wengine
Imefunguliwa ila sheria zilipitishwa na bunge Bado hazijafumuliwa zote. So wakati bado ammendements hazijapelekwa sheria inafanya kazi na ndio hiyo inawanyoosha. Ilianza na Polepole ikaja kwa Gwajima na Sasa ni Mpina.Ila si tuliambiwa nchi imefunguliwa ndio maana mnafanya hadi mikutano ya hadhara?
Mpina alikatwa mbona sijaona maandamano Wala Nini?Wafuasi wa Magufuli hata wakitajwa tu wananchi wanalipuka kwa shangwe ,uliona bwawa la Nyerere?
CHADEMA haitoweza kuchukua DOLA nchi na ika shamiri kwa kuwatenganisha Kabila la WASUKUMA.Mpina alikatwa mbona sijaona maandamano Wala Nini?
Ukumbusho wa JPM tu ulidoda sikuona kumbukizi yoyote Ile ya maana ndio sembuse wafuasi wake. Subiri 2025 ndio mtashika adabu vichaa nyie. Narudia Tena hakuna Jimbo litaenda kwa sukuma gang hata mmoja.
Kama zilinunuliwa kwa pesa za wafugaji sawa lakini kama na mm kuna fwedha zangu za kodi ni ushamba na ujinga uliopotiliza kuwananga wapandqji wq hayo madubwasha. Zaidi ya yote zimeleta faida gani kwa taifa?Lakini ndiyo kutwa unazipanda hizo ndege kumfuata mmeo Dodoma
sasa huo ni uzembe wetu wenyewe asilaumiwe mwekezaji. Huyo mwekezaji awe mzungu au mtz kama ni rushwa ni rushwa tu, tena mtz ndiyo atakuwa zaidi na kuturingishia juu.historia ndiyo inayofanya watu kuwa negative.uwekezaji katika nchi hii huwa mara unafanywa kwa rushwa.ukiona wabunge wanakomalia uwekezaji ujue wao wako nyuma ya makampuni hayo.wananchi kwa sasa wakisikia tu uwekezaji wanajua tayari janga lingine linakuja.viwanda vingi walivyopewa wawekezaji sasa ni magodauni,mfano mzzuri ni urafiki.nchi za afrika zina shida kwenye uwekezaji.
Mpuuzi wewe, mimi kwetu Ngara kabila langu ni mshubi hao wasukuma ni majirani zangu wa karibu kwanini niwachukie?.Ww ni stupid kwann usikubali hata mm nimekufuatilia una chuki na wasukuma
Mtaparulana sana [emoji38][emoji38][emoji38]Jibuni hoja zake msitafute visingizio, kama kalipwa tuwekee risiti hapa tuione.
Punguza utoto, Kanda ya ziwa miaka yote ni ngome ya Chadema. In fact ndio Kanda iliyotoa wabunge wengi zaidi wa Chadema kabla ya 2015.CHADEMA haitoweza kuchukua DOLA nchi na ika shamiri kwa kuwatenganisha Kabila la WASUKUMA.
Ni kutembeza rungu tu kwenda mbele. Mtu akikupachika Rungu/Jambia tu labda ndio tutaelewana
Kwa Taarifa yako,ngome hiyo hamna tena. 2025 sio mbali. CHADEMA stop the Terrorism of the WASUKUMA tribe.Punguza utoto, Kanda ya ziwa miaka yote ni ngome ya Chadema. In fact ndio Kanda iliyotoa wabunge wengi zaidi wa Chadema kabla ya 2015
Sasa mnashida gani ya kuwaita kina Bashiru Kina Bashiru?,au kina Kalemani Kalemani au Ndugai Ndugai mnaruka kuwaunganisha na Kabila la WASUKUMA? Kwanini CHADEMA muendeleze chuki zenu kwa Hayatu na Kabila lake? ambayo ndilo la WASUKUMA kwanini muwaingize Kabila zima katika chuki zenu? Je, itakuwa sawa kwa WAMASAI kudai ISLAMIC GANG ndio waliowafurumusha kutoka makwao? CHADEMA mnadai(sio kweli) kwamba Serikali ya Hayati iliwatenganisha Watanzania. Leo hii, mnahubiri Kabila la WASUKUMA ni genge? mnawezaje kuunganisha Nchi kwa Lugha za Kiutenganishi? CHADEMA mjitathmini. na Muache UGAIDI na Ukimbari.
Tunaowakosoa ni hao sukuma gang ambao sio Wasukuma kama kabila Bali ni watu wa karibu na JPM kama Bashiru, Mpina,Kalemani, Kitwanga, Ndugai, Makonda etc.
Nasema hivi, Mama Samia aendelee kuwanyoosha mpaka akili ziwakae sawa.
Mpina yule hana kitu kichwani mi namjua tangia akiwa Mzumbe, debe tupu lililojaa chuki na uongozi wa mama yetu. Kilichobaki amfuate mshamba mwenzie atamkuta anaongoza malaikaMPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"
View attachment 2633454
Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?
Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.
Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.
Achana na huyu mshamba na mawazo yake ya kishamba mkuuZipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Kwa hiyo mnajisifia kuwa nyumbu?Punguza utoto, Kanda ya ziwa miaka yote ni ngome ya Chadema. In fact ndio Kanda iliyotoa wabunge wengi zaidi wa Chadema kabla ya 2015.
Tunaowakosoa ni hao sukuma gang ambao sio Wasukuma kama kabila Bali ni watu wa karibu na JPM kama Bashiru, Mpina,Kalemani, Kitwanga, Ndugai, Makonda etc.
Nasema hivi, Mama Samia aendelee kuwanyoosha mpaka akili ziwakae sawa.
Ndo mvumilie chuk kutoka kwa watanzania maana alitubague sisi wengine, akutuumiza alivopenda huku akiwapendelea na kusema nyie msiguswe. Hatutakaa tuzisahau chuki zake na manyanyaso dhidi yetu. Hata hii JF alitamani kuiua!!!Nikwambie Magufuli atakumbukwa kizazi na kizazi katika jamii ya Wasukuma
Nikwambie Magufuli atakumbukwa kizazi na kizazi katika jamii ya Wasukuma
Unalinganishaje kifo na usingizi asee! hawa watawala wetu uwezo wakufikiri nakuchanganua mambo wameupata wapi? Ukisikia wanafanya jambo kwa maslahi ya Taifa manake wanamaanisha Familia zao tofauti na hao unalinganisha naoZipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Watu wanapenda kujilinganisha na mataifa mengine pale wanapoona kuna jambo linamanufaa upande wao! ukiwaambia mbona huko kuna Katiba inajisimamia hapa kwetu Msajiri wa vyama ambae ni mteule wa Mwenyekiti wa cccm ndio anamteua huyo Msajiri hiyo wanakaa kimyaHoja yake ndio muhimu kuijadili
Kujifananisha na Marekani si sawa hata kidogo, mifumo yao ya kuwajibishana kwa atakaye kwenda kinyume na maadili imepangika vizuri, hapa kwetu mifumo mibovu sana
Tupate katiba nzuri ndio tuanze hiyo michezo, iwe rahisi kuwabana wakora
Jana niliangalia kipindi change TV TBC kinaitwa Mizani, nikamsikiliza Prof Issa Shivji, moja ya jambo kubwa katika ubinafsishaji ni kupoteza control kama ilivyotokea kwa nhif ambao waliwawezesha hospital kadha was kadha, kwamba watakuwa watoa huduma wao, labdanum walitegemea iwe X lakini baada ya watoa huduma kuimarika gharama zikawa Y, na sasa mfuko wa nhif unapumulia mashine.MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"
View attachment 2633454
Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?
Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.
Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.