PreGE2025 Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa tunakudai, wanaosema 'hatukudai' fedha zao zihamishiwe Kisesa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Toka nizaliwe sijawahi kuona rais wa hovyo kama wa Sasa yaani rais unakuwa na vijembe ?hovyo sana
Unajua tulikua tunaona sijui mbilikimo wa mama, mara sijui nini wa mama, tukadhani ni watu walikua wanajipendekeza kumbe upande wa pili ni kweli bwana anapenda huu ujinga hata kwa mambo mabovu hataki kusikia ukweli hata kama ni mchungu kias Gani..kumbe kweli bwana ...🚮🚮🚮
 
Halafu baada ya chiefu hangaya kuingia, kampiga za uso kisawasawa.

Nina hakika kama angemsifia, hangaya angefurahi sana
Huyu chief hapendi kuambiwa ukweli, yeye anapenda kusifiwa tu hata pasipostahili
Inatokana na trend ya kauli/matukio ya mpina huko nyuma,kosoa serikali kila siku
 
Write your reply...mpina kajibiwa kutokana na uwasilishaji wake wa lugha isiofaa japo ana haki lkn lugha inaakisi kilicho moyoni bye bye mpina kwenye ulimwengu wa siasa
 
Mama hana KIFUA kabisa..vingine unapokea na unaenda kuyachakata kimya kimya, kujua ukweli
 
Reactions: Ame
Write your reply...mpina kajibiwa kutokana na uwasilishaji wake wa lugha isiofaa japo ana haki lkn lugha inaakisi kilicho moyoni bye bye mpina kwenye ulimwengu wa siasa
Hakuna aijuaye kesho!!ulimwengu wa siasa anaujua Mungu pekee!!
 
Reactions: Ame
Hakuweka uchawa wa fisiem mbele.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Write your reply...mpina kajibiwa kutokana na uwasilishaji wake wa lugha isiofaa japo ana haki lkn lugha inaakisi kilicho moyoni bye bye mpina kwenye ulimwengu wa siasa
Kwa nini unamuaga Mpina kwenye uga wa siasa!!??
Una mpango wa kumuuua!!??

CCM si chama cha siasa na ndio maana hawapendi na hawakubali vyama vya siasa na wanasias wafanye siasa.
 

 
Ni Mimi Naona Samia so mzalendo WA Taifa hilo au Yaan hoja za Muhimu zinajibiwa kwa michambo kwel
 
Majibu yetu ni mwendo wa vichambo tupu.
Sasa kama akili hazipo afanyaje 😹 mwanzo nilikua nakerwa kwake kila sehemu anasoma vi memo badala ya kutoa kichwani, ila jana nime amini ni kheri aendelee kusoma vimemo maana aki tumia akili yake ni aibu asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…