Kingmbusel
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 624
- 958
kwani Mpina anawakilisha mbuzi bungeni.Hukuwasikia waliokuwa wananamshangila?Au kwa vile mama yenu katoa kichambo ndio umeona Mpina kajituma.Acha hizo wewe bendera fata upepoMaana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
MBONA ALISHANGILIWA NA WATU WALOKUWA WAMEVALIA GWANDA ZA CHAMA? NA ALISHANGILIWA KULIKO ALIVYOSHANGILIWA RAISMaana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Kwi Kwi KwiMpina hakutumwa na mtu ndo maana wananchi walimzomea sanaaaa ila wakamshangilia sana Samia.
Lea wajukuu tu.Maana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Utukome, sawa sawa?Ila wasukuma wanapenda sifa za kijinga.
hahahaUtukome, sawa sawa?
Kwa spana hizi huyu mzee harudi tena anaenda kujidunga na visungura vyake kisha anaenda kulala.kwani Mpina anawakilisha mbuzi bungeni.Hukuwasikia waliokuwa wananamshangila?Au kwa vile mama yenu katoa kichambo ndio umeona Mpina kajituma.Acha hizo wewe bendera fata upepo
Wewe umetumwa na nani kufanya uzandiki? Kikao gani kimekaa kukutuma ufanye uchawa ili kusaka uteuzi?Maana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Ametumwa na chawa mwandamizi Lucas MwashambwaWewe umetumwa na nani kufanya uzandiki? Kikao gani kimekaa kukutuma ufanye uchawa ili kusaka uteuzi?
Kwani kazi pekee iliyosalia Duniani ni Ubunge? Hakuna kazi zingine? Hakuna kilimo? Hakuna biashara??Kwa spana hizi huyu mzee harudi tena anaenda kujidunga na visungura vyake kisha anaenda kulala.
Hahahaha 😁Ametumwa na chawa mwandamizi Lucas Mwashambwa
Chawaccm ibirisi wa ccm wametoka kuvuta Bangi Ghetto kwa Amos makala sasa wanaanza uchawa shetani waoLichadema hilo
Acha kujitoa ufahamuMaana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Wananchi wa kisesa wanajitambua wanajua kuwa ccm yao imejaa ibirisi na matendo haramu ya kishetani kuliko kuleta maendeleoMBONA ALISHANGILIWA NA WATU WALOKUWA WAMEVALIA GWANDA ZA CHAMA? NA ALISHANGILIWA KULIKO ALIVYOSHANGILIWA RAIS
Utawala wa ibirisi wa ccm hawaleti maendeleo pesa zote wanatumia kuudhofisha chadema wao chadema wanaona ndiyo njia ya kupigia pesa kiwepesi, Wanaandaa Bajeti nyingi za kuua kuihujumu chadema na pesa zote wanakula chawaccm Amos makala na akina Mbowe G55 chauma ubwabwa na vikaragosi waoKwa staili hii tusitegemee maendeleo
Leo wanzuki umekung'ang'aniaMaana hakuna kikao wala mkutano uliotoa azimip la kumdai Rais
Je, alitumwa na nani?
Nimekaa pale 🐼
Kichwani NI void hata hiyo empty umempendelea Sana .Kichwani empty hukuti hata ilo kamasi