Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #161
Tatizo lako unajichanganya sana mzee babaMpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?
Mpira si pesa wala kipaji. Mpira ni vitu viwili 1.Mpira ni kitu(Hollow au solid) kilichotengenezwa kwa ajili ya kudunda,kupigwa,kimichezo au kupitisha liquid kama maji au hewa. 2.Mpira ni mti fulani ambao hutoa utomvu ambao ukiauka hutengeneza Dutu kinamowww.jamiiforums.com
Mimi ninazungumzia USA na Afrika, sasa hayo masuala ya Brazil na Ujerumani yametokea wapi mkuu?Ni sahihi pia kusema Wabrazili, Wajerumani, Wachina, Watanzania na Waingereza wanapenda zaidi soccer kwa sababu ndio wanachoweza kumudu?
Swali lako lina maksi ngapi kwanza?Mpira ni nini? Pesa au vipaji?
Mimi ninazungumzia USA na Afrika, sasa hayo masuala ya Brazil na Ujerumani yametokea wapi mkuu?
Tatizo lako unajichanganya sana mzee baba
Ni nchi huru,they aren't communist country kwamba wapige vitu marufuku hata ambavyo havina madhara yoyote.Ni nchi huru,kuna association za michezo yote ni haki yao wananchi kuchagua michezo ya kucheza,ila kuna ile michezo ambayo ni tamaduni naipo mioyoni mwa watu kama basketball na american football ila sio soccer..Kama walikataa kurithi soccer, basi lipigwe marufuku nchini Marekani...
Sawa mkuu...Ni nchi huru,they aren't communist country kwamba wapige vitu marufuku hata ambavyo havina madhara yoyote.Ni nchi huru,kuna association za michezo yote
Sawa mkuu...Kila nchi inavipaumbele vyake. Wao wameshika soko la filamu kwenye upande wa michezo na burudani.
Biashara iliyowashinda USA...Mpira sio pesa.Mpira biashara kama biashara zingine so sio wote mtakomaa na biashara moja wakat kuna faida pia kwenye biashara zingine
Bila shaka hii comment yako imewazungumzia Marekani. Sasa vp kuhusu Afrika sasa mkuu soccer sio kipaumbele chetu?Kila nchi inavipaumbele vyake. Wao wameshika soko la filamu kwenye upande wa michezo na burudani. Hii inaitwa invest in what you can do best. Sasa wenzangu na mimi kila kitu tunashika shika tu.
Kweli pesa sio kila kitu hapa duniani. Sasa vp kuhusu Afrika mkuu, mbona soccer imetukataa wakati tunavyo vipaji lukuki?Ni nchi huru,they aren't communist country kwamba wapige vitu marufuku hata ambavyo havina madhara yoyote.Ni nchi huru,kuna association za michezo yote ni haki yao wananchi kuchagua michezo ya kucheza,ila kuna ile michezo ambayo ni tamaduni naipo mioyoni mwa watu kama basketball na american football ila sio soccer..
Swali zuri mkuuMpira ni nini? Pesa au vipaji? Mbona umewashinda wote matajiri (U.S.A) pamoja na masikini (Afrika)?
ThanksSwali zuri mkuu
Hivyo vyote ni vipi mkuu?Mpira sio kimoja,no vyote katika mfumo imara.
Men's soccer isn't what the USA can controlMpira sio pesa.Mpira biashara kama biashara zingine so sio wote mtakomaa na biashara moja wakat kuna faida pia kwenye biashara zingine
Choose one that u like n u can controll
Mkuu, ufedhuli unafuata nini tena katika mada za hapa JF? Bila shaka hayo ni masuala yanayopaswa kuishia huko mitaani mkuu...!!!Sijajichanganya, nimekuwekea jibu la kifedhuli ulilojibiwa kama ulivyomjibu mwenzako kifedhuli hapo.
Unapaswa kuanzisha mada yako inayowahusu wao kwa maana hapa sio mahala pakeNimeyatoa kwenye Soccer kwa sababu wamewahi kutwaa makombe ya dunia