Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

Ni sahihi pia kusema Wabrazili, Wajerumani, Wachina, Watanzania na Waingereza wanapenda zaidi soccer kwa sababu ndio wanachoweza kumudu?
Mimi ninazungumzia USA na Afrika, sasa hayo masuala ya Brazil na Ujerumani yametokea wapi mkuu?
 
Mpira sio pesa.Mpira biashara kama biashara zingine so sio wote mtakomaa na biashara moja wakat kuna faida pia kwenye biashara zingine

Choose one that u like n u can controll
 
Kama walikataa kurithi soccer, basi lipigwe marufuku nchini Marekani...
Ni nchi huru,they aren't communist country kwamba wapige vitu marufuku hata ambavyo havina madhara yoyote.Ni nchi huru,kuna association za michezo yote ni haki yao wananchi kuchagua michezo ya kucheza,ila kuna ile michezo ambayo ni tamaduni naipo mioyoni mwa watu kama basketball na american football ila sio soccer..
 
Kila nchi inavipaumbele vyake. Wao wameshika soko la filamu kwenye upande wa michezo na burudani. Hii inaitwa invest in what you can do best. Sasa wenzangu na mimi kila kitu tunashika shika tu.
 
Bila shaka hii comment yako imewazungumzia Marekani. Sasa vp kuhusu Afrika sasa mkuu soccer sio kipaumbele chetu?
 
Ni nchi huru,they aren't communist country kwamba wapige vitu marufuku hata ambavyo havina madhara yoyote.Ni nchi huru,kuna association za michezo yote ni haki yao wananchi kuchagua michezo ya kucheza,ila kuna ile michezo ambayo ni tamaduni naipo mioyoni mwa watu kama basketball na american football ila sio soccer..
Kweli pesa sio kila kitu hapa duniani. Sasa vp kuhusu Afrika mkuu, mbona soccer imetukataa wakati tunavyo vipaji lukuki?
 
Mpira sio pesa.Mpira biashara kama biashara zingine so sio wote mtakomaa na biashara moja wakat kuna faida pia kwenye biashara zingine

Choose one that u like n u can controll
Men's soccer isn't what the USA can control
 
Sijajichanganya, nimekuwekea jibu la kifedhuli ulilojibiwa kama ulivyomjibu mwenzako kifedhuli hapo.
Mkuu, ufedhuli unafuata nini tena katika mada za hapa JF? Bila shaka hayo ni masuala yanayopaswa kuishia huko mitaani mkuu...!!!
 
Back
Top Bottom