Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

Timu za MLS zinajitahidi sana kuchukua malegend wa soka ili kushawishi wamarekani kufatilia mpira lakini bado impact ni ndogo
Impact ni ndogo mnoooo. Hata David Beckham alichezaga ligi hiyo ya Marekani kama sijakosea...
 
Timu za MLS zinajitahidi sana kuchukua malegend wa soka ili kushawishi wamarekani kufatilia mpira lakini bado impact ni ndogo, Zlatan kidogo alipokuwa huko alileta amshaamsha kama unavyoona dongo alilowapiga hapo alipomaliza muda wake[emoji23][emoji23]View attachment 1647376
Hahaha, eti sasa rudini mkatazame basketball
 
Yaani unafananisha uanachama wa FIFA na ICC?!
Tambua kwamba nchi kuwa mwanachama wa mchezo fulani ngazi ya dunia haimaanishi kwamba hiyo nchi inaupenda mno huo mchezo.
Hitimisho ni kuwa "Mpira si pesa"...
 
Yaani unafananisha uanachama wa FIFA na ICC?!
Tambua kwamba nchi kuwa mwanachama wa mchezo fulani ngazi ya dunia haimaanishi kwamba hiyo nchi inaupenda mno huo mchezo. Nchi Kama Argentina, England, Brazil, nk raia wake wanapenda sana soccer kuliko mchezo wowote ule, na wachezaji wa timu ya taifa wanatokana na raia haohao, so vijana hujiingiza katika huo mchezo wao pendwa na hivyo kufanikisha kuwa na timu ya taifa bora. Kwa US wananchi hawapendi sana soccer Kama wanavyopenda basket, swimming, Boxing, Music, Movies,nk hivyo vijana wengi wa kimarekani huchagua michezo yao pendwa ya basket, nk.
Basketball haina wapenzi wengi sana kutokana na miundombinu hususan kwa nchi masikini.
 
Siyo kwamba wanalipenda sana hilo soka ,bali wapo kwaajili ya madili kama hayo ya FIFA, kwani ukifanya kitu hadi ukipende?siyo kwamba wanapenda sana mpira ila fursa kama za kuandaa world cup ndo wanazopigania
Kama suala ni kutafuta fursa hapo sawa nimekuelewa mkuu, lakini kama ni issue ya ufanisi wanaume wa USA ni zero ukilinganisha na pesa zao
 
Tanzania kuifikia Nigeria au Cameroon ki soka tutasubiri sana manake hakuna mipango thabiti hatuoni academy za kitaifa kumtunza mtoto ki soka mpaka awe professional aweze kuuzika ulaya..
Nchi za afrika magharibi wamepiga sana hatua ukicheki ulaya pale waafrika wengi ni west Afrika yani Tanzania hata Burundi anatushinda kiuwekezaji..
 
Tanzania kuifikia Nigeria au Cameroon ki soka tutasubiri sana manake hakuna mipango thabiti hatuoni academy za kitaifa kumtunza mtoto ki soka mpaka awe professional aweze kuuzika ulaya..
Mpira ni pesa ama vipaji?...
 
Back
Top Bottom