Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #101
Huvutiwi kwa sababu liliwashinda. Just be honest bro.Mimi Mmarekani. Sivutiwi na soka.
Niliiacha old world huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huvutiwi kwa sababu liliwashinda. Just be honest bro.Mimi Mmarekani. Sivutiwi na soka.
Niliiacha old world huko.
Kwa hii statement yako ina maana wanalipenda soccer ila soccer lenyewe haliwapendiWako FIFA ili wapate nafasi ya kukaribisha mashindano ya kimataifa ili pesa zizidi kuingia
Impact ni ndogo mnoooo. Hata David Beckham alichezaga ligi hiyo ya Marekani kama sijakosea...Timu za MLS zinajitahidi sana kuchukua malegend wa soka ili kushawishi wamarekani kufatilia mpira lakini bado impact ni ndogo
Siyo kwamba wanalipenda sana hilo soka ,bali wapo kwaajili ya madili kama hayo ya FIFA, kwani ukifanya kitu hadi ukipende?siyo kwamba wanapenda sana mpira ila fursa kama za kuandaa world cup ndo wanazopiganiaKwa hii statement yako ina maana wanalipenda soccer ila soccer lenyewe haliwapendi
Wewe ndiye umesema ukweli hapa...Siyo kwamba wanalipenda sana hilo soka ,bali wapo kwaajili ya madili kama hayo ya FIFA
Hahaha, eti sasa rudini mkatazame basketballTimu za MLS zinajitahidi sana kuchukua malegend wa soka ili kushawishi wamarekani kufatilia mpira lakini bado impact ni ndogo, Zlatan kidogo alipokuwa huko alileta amshaamsha kama unavyoona dongo alilowapiga hapo alipomaliza muda wake[emoji23][emoji23]View attachment 1647376
Hitimisho ni kuwa "Mpira si pesa"...Yaani unafananisha uanachama wa FIFA na ICC?!
Tambua kwamba nchi kuwa mwanachama wa mchezo fulani ngazi ya dunia haimaanishi kwamba hiyo nchi inaupenda mno huo mchezo.
Hili ndo jibu pekee la maana humuMpira si pesa wala kipaji.
Mpira ni vitu viwili
1.Mpira ni kitu(Hollow au solid) kilichotengenezwa kwa ajili ya kudunda,kupigwa,kimichezo au kupitisha liquid kama maji au hewa.
2.Mpira ni mti fulani ambao hutoa utomvu ambao ukiauka hutengeneza Dutu kinamo
Hii mada inahusu mpira kama mchezo na sio mpira kama kifaa/nyenzo
aah basi mpira kama mchezo kuna mpira wa migui,mpira wa kikapu,mpira wa neti....wewe unaulizoa mpira upi?Hii mada inahusu mpira kama mchezo na sio mpira kama kifaa/nyenzo
Ila ni nini?Hitimisho ni kuwa "Mpira si pesa"...
Bado haijajulikanaIla ni nini?
Soma tena madaaah basi mpira kama mchezo kuna mpira wa migui,mpira wa kikapu,mpira wa neti....wewe unaulizoa mpira upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basketball haina wapenzi wengi sana kutokana na miundombinu hususan kwa nchi masikini.Yaani unafananisha uanachama wa FIFA na ICC?!
Tambua kwamba nchi kuwa mwanachama wa mchezo fulani ngazi ya dunia haimaanishi kwamba hiyo nchi inaupenda mno huo mchezo. Nchi Kama Argentina, England, Brazil, nk raia wake wanapenda sana soccer kuliko mchezo wowote ule, na wachezaji wa timu ya taifa wanatokana na raia haohao, so vijana hujiingiza katika huo mchezo wao pendwa na hivyo kufanikisha kuwa na timu ya taifa bora. Kwa US wananchi hawapendi sana soccer Kama wanavyopenda basket, swimming, Boxing, Music, Movies,nk hivyo vijana wengi wa kimarekani huchagua michezo yao pendwa ya basket, nk.
Kuna msemo unasema kwamba, "Mafanikio huja kwa kufanya unachokipenda"...kwani ukifanya kitu hadi ukipende?
Kama suala ni kutafuta fursa hapo sawa nimekuelewa mkuu, lakini kama ni issue ya ufanisi wanaume wa USA ni zero ukilinganisha na pesa zaoSiyo kwamba wanalipenda sana hilo soka ,bali wapo kwaajili ya madili kama hayo ya FIFA, kwani ukifanya kitu hadi ukipende?siyo kwamba wanapenda sana mpira ila fursa kama za kuandaa world cup ndo wanazopigania
Mbona hata huko Afrika kuna watu pia hawamjui Maradona. Ni kawaida sana mkuu.Imagine gwiji Maradona kuna watu hawamjui[emoji1]View attachment 1647374
Nadhani kama mpira ungetegemea pesa basi waarabu wangekuwa wanachukua kombe la dunia mara kwa mara, kwani wana invest pesa nyingi sana katika mpira lakini hawana timu nzuri.Mpira pesa mkuu acha ubishi
Mpira ni pesa ama vipaji?...Tanzania kuifikia Nigeria au Cameroon ki soka tutasubiri sana manake hakuna mipango thabiti hatuoni academy za kitaifa kumtunza mtoto ki soka mpaka awe professional aweze kuuzika ulaya..