Mpira wa bongo unachekesha sana. Cheki hii ya Singida BS na Mbeya City

Mpira wa bongo unachekesha sana. Cheki hii ya Singida BS na Mbeya City

Mbona hii penalty waliyopewa Singida Ina nafuu kuliko waliyopewa Simba dhidi ya Geita. Au Ile waliyonyimwa Azam dhidi ya Simba pale chamanzi baada ya Kibu ku udaka mpira wakati anapigwa kanzu.

Hii inaitwa Soka letu kivyetuvyetu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwongezee na ile penalty dhidi ya Tz prisons kule Taifa.
 
Mleta mada hujui mpira kabisa..

Penalty hata kama ilikuwa ya mchongo striker hatari lazima uwe na vinasaba vya kumdanganya referee.
Goli la pili ile assist ya kuchop wakati jamaa yupo nyuma kabisa.

Jifunze mpira.
 
Goli la pili ni offside ya wazi kabisa
 
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Makosa yanayofanywa na Azam tv ni kutia mkazo/nguvu ya video kwenye mechi kati ya simba na Yanga, ukiangalia setting za camera zinazofanywa kwenye mechi kati ya simba na Yanga ni tofauti kabisa na mechi zingine. Yani hizi mechi zingine hasa zinazofanywa nje ya Dar aisee haiziridhishi.
 
Back
Top Bottom