Mpira wa bongo unachekesha sana. Cheki hii ya Singida BS na Mbeya City

Mpira wa bongo unachekesha sana. Cheki hii ya Singida BS na Mbeya City

Kwanini isiwe offside? Huyu mshika kibendera alikuwa wapi? Nadhani position aliyokuwepo ndo imesababisha asiione offside
Stopisha dk ya 3.15 utamuona kibendera akiwa pazuri kabisa kuona mpokea pasi akiwa offside
 
Yaani nimeshangaa sana mtu anasema magoli ni ya mchongo..!! Hakuna goli la mchongo hata moja..!! Nashangaa sana offside ipo wapi kwenye goli la pili? Kweli akashabikie REDE, maana haina offside
Kama hujui mpira, huwezi kuiona hiyo offside
 
Jamaa asinge anguka angepewa advantage ndo maana refa alichelewa kupiga filimbi. Tuache ushabiki wa kilofa...alikwatuliwa mguu wa kulia
 
Penati ilikua ya mchongo.

Labda kwaku refa alikua mbali na tukio, lakini jamaa baada ya kuchezewa hiyo rafu mchongo akaenda aangukia mbele kabisa alipoona nafasi ya kufunga hamna akajilaza kimagumashi.
 
Kama watazamaji mnabishana na mmeangalia replay slow motion, je refa anayetakiwa kutoa uamuzi ndani ya sekunde chache?
 
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Hata Mimi nawashangaa wanaobeza magoli haya ya wabrazil.
 
Mbona hii penalty waliyopewa Singida Ina nafuu kuliko waliyopewa Simba dhidi ya Geita. Au Ile waliyonyimwa Azam dhidi ya Simba pale chamanzi baada ya Kibu ku udaka mpira wakati anapigwa kanzu.

Hii inaitwa Soka letu kivyetuvyetu [emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli kivyetuvyetu maana madudu tunayo fanya twajua wenyewe
 
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Huna macho wewe. Ile sio penalty. Mtu anadondoka in installments uliona wapi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Goli la pili ni bonge la goli aisee
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede
 
Hapo kwenye dk 3.15 ilikuwa bado mpira haujapgwa, angalia mimi nilipostopisha kwenye picha juu
snipp.PNG
 
Si nasikia marefa wanatembea na nya kwenye hizo bukta zao Sasa akili waitolee wapi!Nchi hii tulichobakiza labda nywele za kwapani vingine vyote vimekwenda.
 
Back
Top Bottom