Mkuu acha upofuTuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Makosa yanayofanywa na Azam tv ni kutia mkazo/nguvu ya video kwenye mechi kati ya simba na Yanga, ukiangalia setting za camera zinazofanywa kwenye mechi kati ya simba na Yanga ni tofauti kabisa na mechi zingine. Yani hizi mechi zingine hasa zinazofanywa nje ya Dar aisee haiziridhishi.
Sioni shida ya magoal zaidi yule beki ndio kacheza kama beki za miaka ya 80 huko huwezi kurusha panga kama lile siku hizi maana any touch ni penalty na goal la pili ni goal zuri tu kama offside kuwa mtu katokea sehemu ya kuotea na kupokea mpira inawezekana lakini huku wenzetu wana VAR lakini pia wanabishana baada ya VAR kwa hiyo mshambulaji anapewa advantage ikiwa kuna mashaka ni magoal mazuri tu haikuwa makosa ya wazi kusema magoal ya mchongo hapana sio kweli. chuki za Tozo tusiunganishe na Singida unitedTuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Yaani nimeshangaa sana mtu anasema magoli ni ya mchongo..!! Hakuna goli la mchongo hata moja..!! Nashangaa sana offside ipo wapi kwenye goli la pili? Kweli akashabikie REDE, maana haina offsideTuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Agh wapii..!! Huwezi nikomvisi offsideTatizo huu uzi umeingiliwa, yaani badala ya kujadili hoja iliyoletwa kwa mustakabali wa mpira wetu, tunaaza kulingaisha eti ipi bora. Huu ujinga wa usimba na uyanga utatufikisha pabaya.
Sisi mashabiki wa giant teams tupunguzi hisia na uhasama kati ya team zetu, maana tunaonekana wote wajinga kumbe kuna mapung'alo wachache ambao vichwa havina ubongo bali vimejaa makamasi ndo wanaotuharibia mpira wetu.
Hatuwezifika mahali. Mimi pia nimeona magoli yote mawili ya SBS yanakasoro.
Faulo ya penalty: mshambuliaji ali-dive na haikustahili kuws penalty bali kadi ya njano.
Goli la pili: Aliyetoa pasi ya mwisho alikuwa offside wakati anaipokea hiyo pasi. Hivyo mwamuzi msaidizi alipaswa kuamuru offside hata kabla hajatoa pasi ya goal.
Fuatilia vizuri ni mechi zote zikiwemo za simba na yanga marudio mengi ya matukio yanakuwa sio clear.Makosa yanayofanywa na Azam tv ni kutia mkazo/nguvu ya video kwenye mechi kati ya simba na Yanga, ukiangalia setting za camera zinazofanywa kwenye mechi kati ya simba na Yanga ni tofauti kabisa na mechi zingine. Yani hizi mechi zingine hasa zinazofanywa nje ya Dar aisee haiziridhishi.
We c unaona hata mwanguko wake ni wa kitapeli kabxaa..mtu kwanja lishapigwa na umeliruka afu baada ya kuona hatoweza kuupiga mpira akaamua kujiangushaTuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Una makemgeza weweGoli la pili ni offside ya wazi kabisa
Goli la pili: Aliyetoa pasi ya mwisho alikuwa offside wakati anaipokea hiyo pasi. Hivyo mwamuzi msaidizi alipaswa kuamuru offside hata kabla hajatoa pasi ya goal.
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Aina ya uwanja pia ni muhimu lkn sio ishu sana ukija upande wa settings za camera, simba/Yanga wakicheza na timu tofauti hapo hapo kwa Mkapa bado setting ni tofauti kama wangekutana wao kwa wao. Sasa hy settings za camera ndipo shida inapoanzia pale panapokuwa na matukio ya kutatanisha kama hayo.Viwanja vya mikoani huwezi fananisha na uwanja mkubwa wa Mkapa, ulijengwa kwa standards zote ikiwemo kukidhi posts za ufungwaji kamera...
N kweli lkn huwezi kulinganisha matukio kwenye mechi kati ya simba na Yanga dhidi ya matukio ya mechi zingine. Simba na Yanga wanatumia Camera nyingi na kila angle hii inawasaidia Azam kupata shots tofaut tofauti sasa ukija upande wa hizi mechi zingine hasa nje ya Dar wanatumia Camera chache hvy kuna baadhi ya shots huwez kuzipata.Fuatilia vizuri ni mechi zote zikiwemo za simba na yanga marudio mengi ya matukio yanakuwa sio clear.
Hakuwa offside, kumbuka ameipokea pasi kisha akaenda nyuma kidogo, hakupokea pasi kisha akakimbia mbele.
Wewe ndiyo ushabikie rede. Angalia dk ya 3.15 utaona jamaa anapokea pasi akiwa offside. Sababu hujui mpira, huwezi kuona.Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Referee anatakiwa kujua viashiria vya diving. Moja ni kudelay kuanguka.Mleta mada hujui mpira kabisa..
Penalty hata kama ilikuwa ya mchongo striker hatari lazima uwe na vinasaba vya kumdanganya referee.
Goli la pili ile assist ya kuchop wakati jamaa yupo nyuma kabisa.
Jifunze mpira.