Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #41
Stopisha dk ya 3.15 utamuona kibendera akiwa pazuri kabisa kuona mpokea pasi akiwa offsideKwanini isiwe offside? Huyu mshika kibendera alikuwa wapi? Nadhani position aliyokuwepo ndo imesababisha asiione offside
Kama hujui mpira, huwezi kuiona hiyo offsideYaani nimeshangaa sana mtu anasema magoli ni ya mchongo..!! Hakuna goli la mchongo hata moja..!! Nashangaa sana offside ipo wapi kwenye goli la pili? Kweli akashabikie REDE, maana haina offside
Amepokea pasi akiwa offside, haijalishi anakoenda.Hakuwa offside, kumbuka ameipokea pasi kisha akaenda nyuma kidogo, hakupokea pasi kisha akakimbia mbele.
Au mimi sijui offside jamaniMagoli ya Singida yote ya mchongo. Penalty ya mchongo na offside ya wazi. Mpira wa kuchekesha sana.
😂 Ni noooooooooumaKama watazamaji mnabishana na mmeangalia replay slow motion, je refa anayetakiwa kutoa uamuzi ndani ya sekunde chache?
Jamaa katokea kati ya mabeki wawili wakati pasi ishapigwa,wabongo wengi hawajui sheria za onside na offside mkuuJamaa aliguswa mguu, na goal la kwanza mpira wakat unachopiwa jamaa alikua onside.
Hata Mimi nawashangaa wanaobeza magoli haya ya wabrazil.Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Unafahamu viashiria vya diving,?Jamaa asinge anguka angepewa advantage ndo maana refa alichelewa kupiga filimbi. Tuache ushabiki wa kilofa...alikwatuliwa mguu wa kulia
Kweli kivyetuvyetu maana madudu tunayo fanya twajua wenyeweMbona hii penalty waliyopewa Singida Ina nafuu kuliko waliyopewa Simba dhidi ya Geita. Au Ile waliyonyimwa Azam dhidi ya Simba pale chamanzi baada ya Kibu ku udaka mpira wakati anapigwa kanzu.
Hii inaitwa Soka letu kivyetuvyetu [emoji3][emoji3][emoji3]
Huna macho wewe. Ile sio penalty. Mtu anadondoka in installments uliona wapi 🤣🤣🤣🤣🤣Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede.
Hiyoo offside rafiki soka umeivamia siyo sehemu salama kwakoMagoli ya Singida yote ya mchongo. Penalty ya mchongo na offside ya wazi. Mpira wa kuchekesha sana.
Tuache ushabiki maandazi. Huwezi kusema haikuwa penati Kwa ushahidi wa hii video ya Azam maana haiko clear kama hakuguswa. Vile vile kama unasema goli la pili ni offside basi Bora ushabikie rede
Hapo kwenye dk 3.15 ilikuwa bado mpira haujapgwa, angalia mimi nilipostopisha kwenye picha juuStopisha dk ya 3.15 utamuona kibendera akiwa pazuri kabisa kuona mpokea pasi akiwa offside
Hapo kwenye dk 3.15 ilikuwa bado mpira haujapgwa, angalia mimi nilipostopisha kwenye picha juu
hata mimi kipofu wa mpira naweza kusema refa wa hii mechi ni mpuuziMagoli ya Singida yote ya mchongo. Penalty ya mchongo na offside ya wazi. Mpira wa kuchekesha sana.