Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Mpira wa miguu una mambo yake wakati mwingine usilotegemea likatokea na unalotegemea lisitoke na ndiyo maana kwenye Betting kuna fedha nyingi sana.
Timu yangu ya Young Africans inapewa nafasi kubwa sana ya kushinda kwenye mechi zake za Klabu Bingwa dhidi ya Elh - Melekh na kutinga makundi kuliko watu wanavyoipa Simba mtani wetu.
Kwenye mpira kuna mambo mengi sana ni vema tutunze akiba ya maneno, tuipe support timu yetu ishinde kuliko kuwabeza wapinzani wetu.